Nimesoma na kuona hizi habari kupitia vyombo vya Habari kama CNN TV, Al-Jazeera, BBC kwamba mzigo wa tatu rasmi umetua KIEV ukitoa ule wa tani 80 wa mara ya pili. Nilisoma humu kuna watu wanadai NATO na Marekani wanatania tania lakini pia Troops zinamiminika Ukraine kwa upande wa Nato pia
Mjomba Urusi yeye nimemsikia Kremlin waziri wa Mambo ya Nje akidai hawana mpango wa kuivamia Ukraine ingawa wameanza mazoezi ya shabaha mpakani mwano na Ukraine, nilivyoelewa mimi nikwamba wanalinda mpaka wao tu ngoma ni nzito haichezeki.
Natanguliza shukurani.