Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Marekani walitaka kumtoa Endorgan, sababu Endorgan ni tishio kwa israelMh kwa mm nilivyofuatilia sidhani km ule ulikua ni mchezo wa kisiasa.
Nahisi ni kweli walitaka kumpindua maana kiukweli Erdogan ana upinzan mwingi mpk kwa wananchi wenyewe .