Mzigo wa tatu hadi jana umetua rasmi kule Ukraine toka Marekani, wale wanaosema NATO wanatania

Marekani walitaka kumtoa Endorgan, sababu Endorgan ni tishio kwa israel
Unawasingizia tu....ingekuwa ni kweli huenda Uturuki ingeshajitoa Nato......

Ukandamizaji wa upinzani, ubabe wa Erdogan na udikteta wake ndio chanzo.
 
Democrats huwa hawawezi kuvuka awamu zao mbili bila kupigana vita; lichama lao ni klabu la wanywa-damu!
Mkuu taratibu maana mkubwa wa Chama amevurugwa; asije akakutukana kama alivyofanya kwa huyu mwandishi wa Fox.
 
Attachments

  • 'Stupid Son of a Bitch' Joe Biden Mocks Fox Reporter in Hot Mic Moment.mp4
    1.2 MB
Mh kwa mm nilivyofuatilia sidhani km ule ulikua ni mchezo wa kisiasa.
Nahisi ni kweli walitaka kumpindua maana kiukweli Erdogan ana upinzan mwingi mpk kwa wananchi wenyewe .

https://www.google.com/url?sa=t&sou...0QFnoECAgQAQ&usg=AOvVaw01FgZoduq9of4cMhRBvvY4

https://www.google.com/url?sa=t&sou...cQFnoECAUQAQ&usg=AOvVaw1ejnrYmVLIWgH8iPlG85qK

Nimeshindwa kufanya hiyo link address isomeke.

Soma mtiririko wa matukio,

1) wanajeshi wa nchi kubwa kama Uturuki wanatumia whatsapp group kwenye harakati za mapinduzi !!!

2) Hawajazima Tv, Redio wala mitandao ya kijamii !!!

3) watu zaidi ya 50000 wamehusishwa na mapinduzi !!!!

4) wanamapinduzi kulipua bunge na ikulu !!!!
 
Nitaisoma mkuu.
Ila raia mahaba yao ni madogo sana kwa serikali ya Recep Tayyep walizungumziaje hilo!?
 
Hii ngoma ilivyotokea ilikuwa ni kama vile tunacheki TV pale Istanbul then mwenyeji wangu akaniambia Rone hali ni tete mwandishi anaongea nyuma ya mjegeje, dakika kadhaa mara jet fighter zinapita juu na adhana zinapigwa kila kona saa nne usiku....Erdogan alito free transport week nzima ili watu wakisanyike maeneo ya wazi kupinga mapinduzi
Wanajeshi walikuwa wanazuiwa na wazee huku wengine wanalia.
 
Democrats huwa hawawezi kuvuka awamu zao mbili bila kupigana vita; lichama lao ni klabu la wanywa-damu!
The question is..., Wanapigana na Nani...

Hawa watu wanajua kabisa To Bite what they can Chew......., kwahio mwisho wa Siku hivi Vita Baridi vitaendelea kuwa Baridi
 
Nitaisoma mkuu.
Ila raia mahaba yao ni madogo sana kwa serikali ya Recep Tayyep walizungumziaje hilo!?
Hilo ni kweli. Jamaa serikali yake imekuwa kama za kiafrika tu, anahusishwa na biashara za madawa ya kulevya, rushwa kupindukia, kupotea mabilioni ya walipa kodi huku akishindwa kuchukua hatua yoyote, kuwapa silaha ISIL na kubwa kuliko yote kuharibu uchumi wa Uturuki kwa sera zake( Erdoganomics).
 
Sera za Erdogan alipokuwa waziri mkuu ziliitajirisha mno Uturuki na kuongeza ushawishi wa Uturuki duniani.

Tatizo la Erdogan kwa Sasa ni kujilimbikizia madaraka makubwa, kutovumilia ukosoaji dhidi yake, kukandamiza upinzani, namna alivyoshughulikia janga la Covid, uchumi unaochechemea na Sera zake huko Syria,Cyprus, Ulaya Mashariki na Libya.
 
Hii ngoma ilivyotokea ilikuwa ni kama vile tunacheki TV pale Istanbul then mwenyeji wangu akaniambia Rone hali ni tete mwandishi anaongea nyuma ya mjegeje, dakika kadhaa mara jet fighter zinapita juu na adhana zinapigwa kila kona saa nne usiku....Erdogan alito free transport week nzima ili watu wakisanyike maeneo ya wazi kupinga mapinduzi
Wanajeshi walikuwa wanazuiwa na wazee huku wengine wanalia.
Mapinduzi gani yanafanyika wiki nzima? Haikukushangaza. Ndege zilienda kulipua majengo ya bunge ili iweje. Kuna mambo huwa yanafanana kwenye mapinduzi karibu yote duniani;

1) kuwahi vyombo vya habari, kwa sasa hadi internet inazimwa huko Turkey we ulikuwa unachat na unaangalia TV kama kawaida.
2) Mapinduzi yanapangwa na watu wachache sana sasa haya mapinduzi yamepangwa na watu zaidi ya 50000,
 
Leo niliangalia documentary RT juu ya vikosi vilivyopo front daah hao wa ukraine unaona kabisa wakati wakihojiwa wamekata tamaa ila basi utafanyaje kikubwa wanasiasa wanaponza sana
 
Wamekata tamaa kulinda mipaka ya nchi yao?!

Na umeangalia RT ambayo ni kituo cha runinga cha serikali ya Urusi! Hahaha! Psychological warfare!
 
Itafute utaona mtu ambae yupo psycho utamuona tu hata akihojiwa kuhusu RT nafahamu ni ya wapi ila pale kumbuka wanasimama kama waandishi tu
 
Hivi mercenaries kama hao wanaokodiwa na serikali hawawezi kuwa tishio kwa usalama wa nchi husika huko mbeleni?
Kama Waganda kibao walikua Afghan na Iraq, wengine bado wapo Iraq hadi muda huu
 
Wadau tuendelee kuchangia hii mada ni tamu, kombora Moja tu Kiev, lazima NATO na USA akili ikawe Sawa huku North Korea nae akipeleka mzigo wa tani za kutosha Urusi, Patamu hapo!
Story za kwenye kahawa hizo wewe unahisi unajua vizur kuliko NATO?
 
Itafute utaona mtu ambae yupo psycho utamuona tu hata akihojiwa kuhusu RT nafahamu ni ya wapi ila pale kumbuka wanasimama kama waandishi tu
Unaelewa maana ya propaganda? Tbc iache kumpamba jiwe iongee ukweli kuhusu Tundu Lisu?

Unaleta mzaha, uko Marekani kwenyewe inafika muda wa uchaguzi Warepublican hawaiamini CNN.
 
Itafute utaona mtu ambae yupo psycho utamuona tu hata akihojiwa kuhusu RT nafahamu ni ya wapi ila pale kumbuka wanasimama kama waandishi tu
Kama wao ndio waliofanya hayo mahojiano, wanasimama kama waandishi wa "the Kremlin".

Anyway, ngoja nikuulize swali dogo: je, huoni kwamba hiyo ni mbinu ya kijeshi ya Ukraine ya kujidogosha zaidi ama kujionesha kwamba wamekata tamaa tena mbele ya media ya adui yao, Urusi?
 
Inawezekana ikawa RT lkn wafanyakaz ni waukraine
 
Back
Top Bottom