Democrats huwa hawawezi kuvuka awamu zao mbili bila kupigana vita; lichama lao ni klabu la wanywa-damu!
Deep water na scandal za mauaji na makosa kibao ambayo mpaka sasa hawajawa accountable.Be serious or at least savvy.
Republicans chini ya George W Bush na team yake ya Dick Cheney, Donald Rumsfeld, Paul Wolfowitz walikuwaje?
Biden anatimiza wajibu chini ya NATO.
Lakini rationale ya vita ya Iraq ilikuwaje? Aidha ilikuwaje GWB akabadili na kurefusha misheni ya Afghanistan kuwa ya kujenga “demokrasia” huku kampuni zao kama Halliburton zikijipatia multibillion dollars defense contracts huko na Iraq?
Ndio raha ya kuvimbiwa kiporo cha arage na ubwabwa.Wadau tuendelee kuchangia hii mada ni tamu, kombora Moja tu Kiev, lazima NATO na USA akili ikawe Sawa huku North Korea nae akipeleka mzigo wa tani za kutosha Urusi, Patamu hapo...!
NaTO mikwara miiingi mwenzake hana mpango huo!! ndo wanajitutumua lkn akiamua ni dakika sifuri...NATO inaogopa urusi mbaya ni km tu!! jiwe na Gwajima!Nimesoma na kuona hizi habari kupitia vyombo vya Habari kama CNN TV, Aljazeera, BBC kwamba mzigo wa tatu rasmi umetua KIEV ukitoa ule wa tani 80 wa mara ya pili., Nilisoma humu kuna watu wanadai NATO na Marekani wanatania tania lakini pia Troops zinamiminika Ukraine kwa upande wa Nato pia
Mjomba Urusi yeye nimemsikia Kremlin waziri wa mambo ya nje akidai hawana mpango wa kuivamia Ukraine ingawa wameanza mazoezi ya shabaha mpakani mwano na Ukraine, nilivyoelewa mimi nikwamba wanalinda mpaka wao tu ngoma ni nzito haichezeki.
Natanguliza shukurani.
Mapinduzi ya Uturuki ulikuwa ni mchezo wa kuigiza.Deep water na scandal za mauaji na makosa kibao ambayo mpaka sasa hawajawa accountable.
Siku hizi wanajeshi wengi kwenye uwanja wa vita ni mercenaries.
Hata Turkey general wa zamani ana kampuni ya kutoa ulinzi wa kijeshi ambayo inapiga mission za kukodiwa sehemu mbalimbali. Na inasemekana walihusika sana kuzima jaribio la kumpindua Erdogan
Hivi mercenaries kama hao wanaokodiwa na serikali hawawezi kuwa tishio kwa usalama wa nchi husika huko mbeleni?Deep water na scandal za mauaji na makosa kibao ambayo mpaka sasa hawajawa accountable.
Siku hizi wanajeshi wengi kwenye uwanja wa vita ni mercenaries.
Hata Turkey general wa zamani ana kampuni ya kutoa ulinzi wa kijeshi ambayo inapiga mission za kukodiwa sehemu mbalimbali. Na inasemekana walihusika sana kuzima jaribio la kumpindua Erdogan
Kwa Marekani eti wana prefer mercenaries kwakuwa ni cheap na kama hayo makosa ya kivita ni rahisi kutokuwa accountableHivi mercenaries kama hao wanaokodiwa na serikali hawawezi kuwa tishio kwa usalama wa nchi husika huko mbeleni?
Mchezo wa kuua mamia ya raia?.... Vipi kuhusu askari na waliokamatwa na kushitakiwa na mpaka leo wapo mahabusu?.. hao pia ni waigizaji wa huo mchezo?Mapinduzi ya Uturuki ulikuwa ni mchezo wa kuigiza.
Baada ya hilo tukio erdogon amekuwa na power zaidi, wale wote aliokuwa hawakubali wamekamatwa na kufungwa au kukimbia nchi.Mchezo wa kuua mamia ya raia?.... Vipi kuhusu askari na waliokamatwa na kushitakiwa na mpaka leo wapo mahabusu?.. hao pia ni waigizaji wa huo mchezo?
Ukiangalia nchi kama Marekani,Urusi, Uturuki wengi wa wamiliki wa hayo makampuni wana uhusiano wa kibinafsi na viongozi wakuu wa hizo nchi..........na hao ndio huwapa hizo tenda/dili.Kwa Marekani eti wana prefer mercenaries kwakuwa ni cheap na kama hayo makosa ya kivita ni rahisi kutokuwa accountable
Waliokamatwa wengi ni watu waliokuwa wanapinga sera za Erdogan na kipindi hiki huyu bwana umaarufu wake ulishuka sana ndio akaja na hii mbinu. Ilimsaidia kwa kuwa alipata sababu ya kumshutumu rafiki yake wa zamani Gulen kwa kuwa nyuma ya mapinduzi, kuondoa watu wa Gulen serikani na pia kupata kumuongezea umaarufu.Mchezo wa kuua mamia ya raia?.... Vipi kuhusu askari na waliokamatwa na kushitakiwa na mpaka leo wapo mahabusu?.. hao pia ni waigizaji wa huo mchezo?
Israel ina mahusiano mazuri na urusi.Ningependa sana kujua mrengo wa Israeli katika mgogoro wa Ukraine maana Israel ana maslahi kwa US na washarika wake kwa upande mmoja na Russia kwa upande mwingine!!
Vita katika zama hizi mara nyingi ni game inayochezwa na big powers kupanua mianya yao ya kutengeneza pesa ndio maana huwa hawapigani ktk ardhi yao
Mh kwa mm nilivyofuatilia sidhani km ule ulikua ni mchezo wa kisiasa.Waliokamatwa wengi ni watu waliokuwa wanapinga sera za Erdogan na kipindi hiki huyu bwana umaarufu wake ulishuka sana ndio akaja na hii mbinu. Ilimsaidia kwa kuwa alipata sababu ya kumshutumu rafiki yake wa zamani Gulen kwa kuwa nyuma ya mapinduzi, kuondoa watu wa Gulen serikani na pia kupata kumuongezea umaarufu.
Israel amegoma kuside nayeyote, anahofia kuhatarisha maisha ya wayahudi, kuna 1000,000 Russians jews ndani yaisraelNingependa sana kujua mrengo wa Israeli katika mgogoro wa Ukraine maana Israel ana maslahi kwa US na washarika wake kwa upande mmoja na Russia kwa upande mwingine!!
Vita katika zama hizi mara nyingi ni game inayochezwa na big powers kupanua mianya yao ya kutengeneza pesa ndio maana huwa hawapigani ktk ardhi yao