FRANC THE GREAT JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 5,500 Reaction score 8,060 Jan 28, 2022 #41 Muuza viatu said: Inawezekana ikawa RT lkn wafanyakaz ni waukraine Click to expand... Kama ni hivyo basi lile swali langu linazidi kuongezeka thamani!
Muuza viatu said: Inawezekana ikawa RT lkn wafanyakaz ni waukraine Click to expand... Kama ni hivyo basi lile swali langu linazidi kuongezeka thamani!
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Jan 28, 2022 #42 Marekani si chochote bila msaada wa NATO Yani ukichukuwa Marekani + NATO + Israel + Ukraine=Russia + North Korea
Marekani si chochote bila msaada wa NATO Yani ukichukuwa Marekani + NATO + Israel + Ukraine=Russia + North Korea