Mzigua90 kikaangoni

Ni burudani gani unayoipenda katika maisha yako?

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
...usaili gani maswali yenyewe ya kisengesenge tu!
...unamzimia huyo single mother ila unamhanya ndo mana unatumia njia ndeeeeefu ya usahili wa kibwabwa;
..mpe hela ya pampers tu huyo ukaoshe rungu!
(usiniquote tena we bwabwa)
Dah! Ndo shida ya kuongea Na mtu kajificha nyuma ya keyboard ukadhani mzima kumbe ana vyeti vya mirembe Na katoroka!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa kizigua kikubwa tulichojaaliwa ni mapenzi na huwa tunajali sana wengine especially tunaowapenda..
Wanaume wa kizigua siwajui kiviiile ila wengi wavivu na hawapendi elimu. Huwa wanaridhika na kidogo walichonacho hawapendi kutafuta vikubwa
Hapa kwa wanaume mwali umelenga penyewee,tangu nikiwa kigori mama yangu aliniambia ogopa mwanaume wa kizigua teh teh teh! Wavivu,wa kibondei Malaya,wa kidogo hata sisemi maana ndo kabila langu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika umenena! Watujia wadigo tusivyopenda kazi ngumu teh teh teh! Sie tukilala na 1000 tunaona kama tumelala na milioni teh teh teh!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdigo akila wali wake na samaki kanywa na maji baridi na kafunga msuli wake huku anacheza bao walaaaa hana wasiwasi wa kutafuta million. Wanaume wa pwani shida yao ni kukosa mke tu baasi, akishapata mke maisha kayamaliza maana uhakika wa kula anajua upo akienda deep sea hakosi samaki wa kurudi nao nyumbani... ndugu zangu wananichoshaga sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…