DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
- Thread starter
- #221
Ushawahi mcheat baby wakoAcha kabisaa... nilihama hostel kwetu nikaja kubebwa town ili tu niwe na bby karibu... sema ndo alikua bf wangi wa kwanza ndo maana alinidatisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app