Mzigua90 kikaangoni

Mzigua90 kikaangoni

Keshasema haifai kwa matumizi ya binadamu, mi naiogopa hata usinitumie
Haifai kwa matumizi yake. Asiwe msemaje wa wengine.

Manake mbona inagombaniwa saa kwingine.
Afu snitamfinya yule kwansababu siri za ndani anazivujisha
 
kulikua na party chuoni inafanyika sehemu flani Posta, kufika nikamkuta ex bf wangu yuko na mwanamke ambae nilishasikia wanadate. Jamaa nilikua nampenda bado japo nilimuomba mimi tuachane, basi nilivyoona wamekaa nikaconclude nilichokua nakisikia ni kweli,basi nilianguka chini nikaanza kulia kama msiba mpaka mziki ukazimwa wakijua kuna mtu kafiwa na ukitegemea chuoni watu walikua wananijua jua basi ilikua aibu kesho yake maana nilikua napokea simu za pole kwa msiba kumbe nilikua nalilia mapenz..
Aisee nimecheka balaaa
 
Back
Top Bottom