Halafu wewe kanyagio la chooni...usaili gani maswali yenyewe ya kisengesenge tu!
...unamzimia huyo single mother ila unamhanya ndo mana unatumia njia ndeeeeefu ya usahili wa kibwabwa;
..mpe hela ya pampers tu huyo ukaoshe rungu!
(usiniquote tena we bwabwa)
Yah Chelsea ndo penyewe hapo, ila Yanga hapana...Na wewe ndo timu zako nini?
Eti usiniquate tena(in masanja's voice)...usaili gani maswali yenyewe ya kisengesenge tu!
...unamzimia huyo single mother ila unamhanya ndo mana unatumia njia ndeeeeefu ya usahili wa kibwabwa;
..mpe hela ya pampers tu huyo ukaoshe rungu!
(usiniquote tena we bwabwa)
Kwa hapo bongo unaisupport timu gani kati ya timu ya wananch8 na mikia?Kuangalia mpira
Timu ya wananchi Dar es Salaam Young AfricanKwa hapo bongo unaisupport timu gani katinya timu ya wananch8 na mikia?
Ahsante mama,hapo kwa wananchi ndio penyewe,ungenambia mapema leo ningekuoffer tiketi ya mechi ya wananchi vs singida utdTimu ya wananchi Dar es Salaam Young African
Natakiwa niwe na Pesa ngapi sasa..elfunaire,lakinaire,milionaire,Bilionaire??Pesa...
NimepitaMpini
Aisee.Inna kwani hujui kama huyu jamaa cheche??
Saint Ivuga
Sababu ikiwa???Nimewahi..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha tuolewe nje ya nyumbani mwanakwetuMdigo akila wali wake na samaki kanywa na maji baridi na kafunga msuli wake huku anacheza bao walaaaa hana wasiwasi wa kutafuta million. Wanaume wa pwani shida yao ni kukosa mke tu baasi, akishapata mke maisha kayamaliza maana uhakika wa kula anajua upo akienda deep sea hakosi samaki wa kurudi nao nyumbani... ndugu zangu wananichoshaga sana!!
Next time usisahau kuniofffer mkuu....Ahsante mama,hapo kwa wananchi ndio penyewe,ungenambia mapema leo ningekuoffer tiketi ya mechi ya wananchi vs singida utd
Hata elfunaire sema usiwe mchoyo tu...Natakiwa niwe na Pesa ngapi sasa..elfunaire,lakinaire,milionaire,Bilionaire??
AbeeeeNimepita
Hasira tu..Sababu ikiwa???
Kwa kweli nyumbani kaka zety watusamehe bure..[emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha tuolewe nje ya nyumbani maanakwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu uliecheat nae umewahi kumtamani kabla??..Au hasira zilikutia upofuHasira tu..
huna kitambiMazoezi sifanyi, kitambi sijui kama kipo au la, wanaonijua watanisaidia kujibu...