Mzigua90 kikaangoni

Mzigua90 kikaangoni

Utegemezi wa kiuchumi..Mwanamke na mwanaume wote wana kipato..Lakini pesa ya mwanamke yake peke yake..Ya mwanaume ya kwake pia..Au mwanamke pesa yake anaitumia kwenye matumizi binafsi ila ya mwanaume ndo itimize mahitaji yote ya kifamilia..Imekaaje kwako??
kwa watu wanaoishi pamoja lazima kugawana majukumu unless huyo mwanamke hafanyi kazi, mwanaume alipe kodi na matumizi makubwa makubwa mwanamke ahakikishe nyumba ni safi kama kuwalipa mishahara house girls na kununua chakula...
ni kama mgawanyo wa 70/30 sio 50/50...
 
Hapo sawa naona kajitutumua kweli hawajampata.

Babe na mimi nina swali kwako.

Mwanaume anamchango gani katika maisha yako?

Cc Mzigua90
Sijui swali haliko straight au sijaelewa.. nitajibu kwa nilivyo elewa, kwa sasa hapa nilipo hakuna mwanaume mwenye mchango wowote kwenye maisha yangu...
 
kwa watu wanaoishi pamoja lazima kugawana majukumu unless huyo mwanamke hafanyi kazi, mwanaume alipe kodi na matumizi makubwa makubwa mwanamke ahakikishe nyumba ni safi kama kuwalipa mishahara house girls na kununua chakula...
ni kama mgawanyo wa 70/30 sio 50/50...
70/30 Hata kama vipato vinalingana?
 
Sijui swali haliko straight au sijaelewa.. nitajibu kwa nilivyo elewa, kwa sasa hapa nilipo hakuna mwanaume mwenye mchango wowote kwenye maisha yangu...
Siamini kama umekwepa kaswali kangu hivi hivi.... haya tu.

Kwanini unadhamiria kuwa na mme? Kwsababu ulizaliwa ukakuta huu mfumo upo au! Nini hasa kinakusukuma kudhamiria kuolewa
 
Mgawanyo wa 70/30
Mfano wewe na mmeo mnapokea Mil 1 kila mmoja..

Mwanaume anachangia
70/100 x 1,000,000 = 700,000...Anabakiwa na 300,000

Mwanamke anachangia
30/100 x 1,000,000 = 300,000..Anabakiwa na 700,000

Teh teh..Mi bado sijampata mwanamke wa kunishikia akili kiasi hiki aisee..
 
Back
Top Bottom