Teh teh..Kuwa na amani bro..Mi sili nikamalizaNikajua unanitoroshea tena....
Inshallah kama unayosema yana kheri mwenyezi Mungu mwenye kudra aendelee kukujaza rehema
Ngoja nifanye utaratibu wa kukufuata Private nije kujieleza nimekupenda ghafla sana.ni kama ajali hizo sifa zako ndio ninazozitaka mimi [emoji7][emoji7]Wapi nije???
Kama sio kweliNikajua unanitoroshea tena....
Inshallah kama unayosema yana kheri mwenyezi Mungu mwenye kudra aendelee kukujaza rehema
Kaja kunilinda mke wenu...
Hajawahi kujua... sikujuta sababu muhusika ndo alikua sababu ya haya kufanyika...Muhusika alijua??...Ulijutia baada ya hasira kuisha??
kwa watu wanaoishi pamoja lazima kugawana majukumu unless huyo mwanamke hafanyi kazi, mwanaume alipe kodi na matumizi makubwa makubwa mwanamke ahakikishe nyumba ni safi kama kuwalipa mishahara house girls na kununua chakula...Utegemezi wa kiuchumi..Mwanamke na mwanaume wote wana kipato..Lakini pesa ya mwanamke yake peke yake..Ya mwanaume ya kwake pia..Au mwanamke pesa yake anaitumia kwenye matumizi binafsi ila ya mwanaume ndo itimize mahitaji yote ya kifamilia..Imekaaje kwako??
Sijui swali haliko straight au sijaelewa.. nitajibu kwa nilivyo elewa, kwa sasa hapa nilipo hakuna mwanaume mwenye mchango wowote kwenye maisha yangu...Hapo sawa naona kajitutumua kweli hawajampata.
Babe na mimi nina swali kwako.
Mwanaume anamchango gani katika maisha yako?
Cc Mzigua90
LolNgoja nifanye utaratibu wa kukufuata Private nije kujieleza nimekupenda ghafla sana.ni kama ajali hizo sifa zako ndio ninazozitaka mimi [emoji7][emoji7]
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Huyu kupatikana labda tuvunjike nyonga..Vinginevyo haendi kokote
70/30 Hata kama vipato vinalingana?kwa watu wanaoishi pamoja lazima kugawana majukumu unless huyo mwanamke hafanyi kazi, mwanaume alipe kodi na matumizi makubwa makubwa mwanamke ahakikishe nyumba ni safi kama kuwalipa mishahara house girls na kununua chakula...
ni kama mgawanyo wa 70/30 sio 50/50...
Nitamlaani mwanafedhuli huyu
Eeeeeh..70/30 Hata kama vipato vinalingana?
Ulirudia kukwichkwich na huyo jamaaHajawahi kujua... sikujuta sababu muhusika ndo alikua sababu ya haya kufanyika...
Siamini kama umekwepa kaswali kangu hivi hivi.... haya tu.Sijui swali haliko straight au sijaelewa.. nitajibu kwa nilivyo elewa, kwa sasa hapa nilipo hakuna mwanaume mwenye mchango wowote kwenye maisha yangu...
Mgawanyo wa 70/30Eeeeeh..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]