Brain, naweza nikakutana na mwanaume nikamuelewa ila nikigundua hana akili za pesa wala darasani hatanisikia tena..
Nishaonywa na somo...kaburini????
Nitafute pm baada ya interview
Nani humu anasifa hizi labdaBrain, naweza nikakutana na mwanaume nikamuelewa ila nikigundua hana akili za pesa wala darasani hatanisikia tena..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mzigua Marinda yapo au yamedaliziwaa
Hold your peace broJamaa unatumaswali twa kijinga ww, na twa uchonganyishi..
UNATAKIWA UPIMWE KOJOO
Kumpa elimu bora kabisa... pamoja na kuwa mimba haikupangwa ila mimi mama ake sishindwi kumpatia elimu nzuri.Una ndoto gani na mwanao kama mama ?
Au alikua mimba isiyotarajiwa anakuja kutusumbua tu mtaani kwa kukwapua iphone zetu.?
Wapo wengi.. naogopa kutaja majina gf zao wakanimeza..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sihami JamiiForum.. Mweeeh!!
Unawachukuliaje hawa BAk Nyani ngabu deferrentiateNishaonywa na somo...
Huh... nimeshindwa kujibu hili
Uko tayari kukutana live kwa date Na man yeyote humu!!Mama, ndo amenilea toka nikiwa mdogo. Baba alikuja wakati mama ameshahangaika sana na mimi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nani unamuogopa zaidWapo wengi.. naogopa kutaja majina gf zao wakanimeza..
Napenda tambo za Nyani Ngabu ila BAK napenda anavyoandika, huwa naona busara kwenye maandishi yake..