Mzigua90 kikaangoni

Mzigua90 kikaangoni

Mzigua90 naomba nijue tabia kuntu za wanawake wa kizigua. Haitakua vibaya nikijua na za wanaume..
Wanawake wa kizigua kikubwa tulichojaaliwa ni mapenzi na huwa tunajali sana wengine especially tunaowapenda..
Wanaume wa kizigua siwajui kiviiile ila wengi wavivu na hawapendi elimu. Huwa wanaridhika na kidogo walichonacho hawapendi kutafuta vikubwa
 
Ipi ni source yako ya maujanja ya maisha unayoaiamini.? Vitabu (kipi), watu(nani), movie(ipi), magazeti(yapi), social media(ipi) Internate, au Shule tu..??
 
Wanawake wa kizigua kikubwa tulichojaaliwa ni mapenzi na huwa tunajali sana wengine especially tunaowapenda..
Wanaume wa kizigua siwajui kiviiile ila wengi wavivu na hawapendi elimu. Huwa wanaridhika na kidogo walichonacho hawapendi kutafuta vikubwa
Kwanini watu husema tanga waenda Leo warudi Leo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa kizigua kikubwa tulichojaaliwa ni mapenzi na huwa tunajali sana wengine especially tunaowapenda..
Wanaume wa kizigua siwajui kiviiile ila wengi wavivu na hawapendi elimu. Huwa wanaridhika na kidogo walichonacho hawapendi kutafuta vikubwa
Kuhusu wanaume wa kizigua umeongea ukweli mtupu.
 
Back
Top Bottom