Ofcourse yes..
Kumuogopaje..[emoji23] [emoji23] [emoji23] nani unamuogopa zaid
Demi au sakayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo tayari kupiga Picha za utupu!Napenda tambo za Nyani Ngabu ila BAK napenda anavyoandika, huwa naona busara kwenye maandishi yake..
Wanawake wa kizigua kikubwa tulichojaaliwa ni mapenzi na huwa tunajali sana wengine especially tunaowapenda..Mzigua90 naomba nijue tabia kuntu za wanawake wa kizigua. Haitakua vibaya nikijua na za wanaume..
Sidhani kama neno kuwazidi ni sahihi, ninachojivunia nacho ni akili na msimamo.Una nini cha kuwazidi wanawake wote Jf / Tanzania kwa ujumla, unachojivunia nacho.?
Siko tayari..Upo tayari kupiga Picha za utupu!
Au kucheza porn kwa Malipo gani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Sidhani kama neno kuwazidi ni sahihi, ninachojivunia nacho ni akili na msimamo.
naomba nisitaje jina
i see myself__najiona mimiSijawakariri majina ila wapo.. penye werevu hapawezi kukoseakana wajinga..
Poa niambie unachopenda mwanaume wako akufanyienaomba nisitaje jina
Kwanini watu husema tanga waenda Leo warudi Leo!Wanawake wa kizigua kikubwa tulichojaaliwa ni mapenzi na huwa tunajali sana wengine especially tunaowapenda..
Wanaume wa kizigua siwajui kiviiile ila wengi wavivu na hawapendi elimu. Huwa wanaridhika na kidogo walichonacho hawapendi kutafuta vikubwa
Kuhusu wanaume wa kizigua umeongea ukweli mtupu.Wanawake wa kizigua kikubwa tulichojaaliwa ni mapenzi na huwa tunajali sana wengine especially tunaowapenda..
Wanaume wa kizigua siwajui kiviiile ila wengi wavivu na hawapendi elimu. Huwa wanaridhika na kidogo walichonacho hawapendi kutafuta vikubwa
Nimeshajibu juu mkuu...
Okey : lkn lazima uwe na point ya kujidai, unachoamini hata aje nani hakuwezi.
Anipende na kunijali...