Yes I did after knowing the truth ila sikumuacha pia kwa sababu hiyo..
Achana Na huyu kenge!Hata mama ako wakati anakunyonyesha wewe na kukuzolea nya yako alikua ananuka maziwa... idiot
mtoto anelelewa na mzaz mmoja ndo anakuja kua mwiz?
kuna wengi wapo na wazazi wao wote ila ni wezi
Hakuna kero ila hakivutii tu..
Haha[emoji23] so is it true wanaposema Mme Wa mtu mtamu etiYes I did after knowing the truth ila sikumuacha pia kwa sababu hiyo..
Umeongea as if mimba zinazopangwa ndo hazitoi watoto wasio na maadili.. mbona watoto wengi tu wamezaliwa ndani ya ndoa na ndo wana tabia zote mbaya unazozijua... hata mimi nililelewa na mama pekee mbona sio kikwazo kwenye jamii yangu.Sijasema kwa sababu kazaliwa na mazazi mmoja, nimemuuliza yeye kama mama ana ndoto zipi kwa mwanae.?
Sio kweli labda uwe unamchuna ndo atakua mtamu ila ukimpenda kwa dhati utamu utatoka wapi wakati unajua kuna mtu unashare nae dushe..
Hata kwa kuungalia tu ukiwa unasoma 4G unavutia..
Upo tayari kumchuna mume Wa mtu humu jf etSio kweli labda uwe unamchuna ndo atakua mtamu ila ukimpenda kwa dhati utamu utatoka wapi wakati unajua kuna mtu unashare nae dushe..
Haha kunywa soda nalipa!Hata kwa kuungalia tu ukiwa unasoma 4G unavutia..
Hahahahaaaa...
Asante mkuu
Hebu niambie makabila matatu ambayo huwez mshauri mtu kuoa au kuolewa hukoAsante mkuu
Umeongea as if mimba zinazopangwa ndo hazitoi watoto wasio na maadili.. mbona watoto wengi tu wamezaliwa ndani ya ndoa na ndo wana tabia zote mbaya unazozijua... hata mimi nililelewa na mama pekee mbona sio kikwazo kwenye jamii yangu.
Unawazungumziaje wanaume wanaotelekeza watotoYes I did after knowing the truth ila sikumuacha pia kwa sababu hiyo..
Kwa iyo kwa kusema ivyo wewe unapingana na wanaume wa kizigua kwa maana ktk moja ya post zako umesema unavutiwa na mwanaume mwenye focus ya kutafuta pesa pamoja na mzuri darasani kama sikosei.Wanawake wa kizigua kikubwa tulichojaaliwa ni mapenzi na huwa tunajali sana wengine especially tunaowapenda..
Wanaume wa kizigua siwajui kiviiile ila wengi wavivu na hawapendi elimu. Huwa wanaridhika na kidogo walichonacho hawapendi kutafuta vikubwa