Wasukuma nasikia wako vizuri sema kila nikimwangalia mkulu ananikatisha tamaa kabisa na wasukumaOngezea Msukuma na Mkurya
Wali samaki
Mkulu tuu.. Mpaka kale kateule kake ka mkoa huo. Ptuuu..Wasukuma nasikia wako vizuri sema kila nikimwangalia mkulu ananikatisha tamaa kabisa na wasukuma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Kumbe wakurya nao wanapenda shirki? sikuwahi kujuaWazigua na wakurya sifa yao ni moja ushirikina
Wakipendana usishangae
Sijaelewa
Uchochezi!!Unachukuliaje swala la Bwana Yule kudai ametongozwa na wanawake lukuki Pm?
Natafuta pesa mkuu mengine nitakutana nayo baadae..Ok. So, kuna juhudi zozote unazifanya kutafuta pesa au focus yako iko kwenye mtandao huo wa huyo mwanaume umtakae.
Hapana,nataka kujua tu mtazamo wake.
Taarabu?? Njiwa wa Patricia HillaryUnapenda wimbo gani wa taatabu.?
Kick tu...Unachukuliaje swala la Bwana Yule kudai ametongozwa na wanawake lukuki Pm?
USA baby
Hebu nitumie na mimiMeambie nampenda sana maya dada huyu.
Afu akishamliz tu interview anitafute nimtumie ile picha niliyomtumiaga miss chagga.
Je nini mtazamo wako juu ya Wanaume wapenda Kiki?Kick tu...
Hahahaaa.. usijemuogopa na weweHebu nitumie na mimi
Utoto unawasumbua, wakikua wataacha..Je nini mtazamo wako juu ya Wanaume wapenda Kiki?
Watu kama nyani ngabu waliozamia huko je wanakosa uzalendo?USA baby