Mzigua90 kikaangoni

Mzigua90 kikaangoni

Weshu kaibu
upload_2017-8-5_11-27-27.jpeg
 
JF kuna watu wenye uelewa mpana sana wa mambo japo kuna wajinga wachache pia tofauti na fb na insta kule ni ngumu kujifunza.. huwa narecommend watu kujiunga JF sababu naamini ni sehemu nzuri kwa wenye elimu kukutana.
we kimbia swali tu.... nimekuuliza unafanya mazoezi au unakitambi?.... au nichague mwenyewe jibu sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1)yule bwana aliyekupa ujauzito akatokomea kukupa matunzo kipindi cha ujauzito vipi alijitambua akaja kutekeleza jukumu lake la matunzo?
2)mtoto ulishajifungua?
3)kama ulishajifungua jamaa anakupa matunzo au ndio umekuwa single mama?

-Ndumilakuwili-
 
Back
Top Bottom