Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Injinia bwanaaaMuda mchache sana
Tunapangiana cha kuandika humu siku hizi?Huo unaitwa ushambenga,,,,,
Mwanaume utaletaje mashairi aiseeee ? Nyie ndo mnavalishwa madela kudadeki!
Sawa mmependana, it's non of our business, Kama ulitaka wanajukwaa wajue ungekuja simply tu,,, Eee bhana ee nimemzimikia mtt flani na tuko kwa hatua fulan MUngu akipenda Mambo yatakuwa hivi !!! Simple and clear
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umepaniki, ila sisi wanaume tunaambizana ukweli ,!!!! Umezngua man
Na hizo ni lyrics za nyimbo tu zinahusiana vipi na jinsia?
Kila la kheriiiƙυɱႦҽ ɳιɱҽʂԋαʝυα υʝαɳʝα ɳι ƙυαɳԃιƙα ƙα ɳყιɱႦσ ƙαȥυɾι ƚυ ɱαɱႦσ ყαɳαʝιρα ɱҽɳყҽɯҽ ɳɠσʝα ɳιʋυƚҽ ԃαϝƚαɾι
Aisee wakali wa hizi kazi wa JF nawaona nawaona siye tusio na visu vikali inabidi tutulie
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Mkuu wewe unampa mashairi,na Mimi nikimpa mkwanja nani atakuwa amewin?
Unajificha sana siku hizi rafikiNiandikie bas shairi.km hili..il liwe fupi fupi😉
Unajificha sana siku hizi rafiki
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo[/QUOTE
]lol