MZIGUA90

MZIGUA90

Ooh Kasuku mwenye sauti nyororo
mususu ya solo ndombolo
Na bando letu la buku twaperuzi mpaka tommorrow
Mambo iko huku penzi twalila kwa soro Hmmm anipelekesha msobe msobe Kama fuso lapanda mlima
Na nilivyo fundi kuchelewesha Kobe kobe Simpi dusko nzima nzima
(aah) Mukoroge sumu mnywe kwenye vijiba vya roho
Yatawatoka mapunye Mumwe kwashakoo Tena wavimbe na wanune ishakua yako
Itafune imung'unye ifike kunako

ooh baby Kushika kiuno (tamu)
Niku chumu chumu (tamu)
Nikikukumbatiaa (tamu) Tamu kolea
Penzi letu baby (tamu) Yani mpaka kisogoni (tamu) torororoo (tamu) tamu kolea

Baby tufanye wazi wazi watuone
Picha weka DP na makopa kopa caption Baby walokosa kazi wanong'one Wapandishe BP Wapumue kwa oxygen Waambie vimberu mberu Sio penzi la mashaka
Tushasoma dua kusitirika Kwa wenye macho ya paka
Wambiee Mimi beberu sio jogoo la pasaka
Wanajizugua kukunja ndita watazeeka haraka
Steel wire ananisugua (Kwa makovu kovu) Hanaga mbaya laazizi (Show mbovu mbovu)
Tena fundi mwaya Kazi anaijua (My love love)
Haijawahi kupwaya yani kiivi
Mukoroge sumu mnywe kwenye vijiba vya roho
Yata wa toka mapunye mumwe kwashakoo
Tena wavimbe na wanune ishakua yakoo Itafune imung'unye ifike kunako

ooh baby Kushika kiuno (tamu)
Niku chumu chumu (tamu)
Niki kukumbatiaa (tamu) Tamu kolea
Penzi letu baby (tamu) Yani mpaka kisogoni
(tamu) Torororoo (tamu) Tamu kolea

Ebo baby mtoto kakua (Kasimama dede) Nimtazame (Kasimama dede)
Mwana anatembea (Kasimama dede)
Yani tee tee Anataka aking'ate (Kasimama dede)
Kaona kitumbua (Kasimama dede) Amekua baba (kasimama dede)
Yani tete teteee

Mzigua90

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona moyo umeniuma ghafla

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Hahahahahaa

2019 imeanza kwa fujo!

Naona rate ya niggas ku-fall in love ni vertical line gradient "m" ni infinity!

Ni safi maana,a pussy somewhere on earth has to be smashed by any means necessary!
 
Back
Top Bottom