INAUZWA Mziki huu hapa kwenye bajaji au gari

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,565
Reaction score
1,918
Kifaa hiki unaweza funga kwenye bajaji au gari na ukapata mzk mkubwa sana

  • Bei 35,000 tu
  • Dsm Goba hapa
  • 0766 102 710

IMG_20210824_061837.jpg
 
Chukua 8,000 mkuu. Niletee na flash yake kabisa mana zinakujaga na flash. Nipo chalinze
Ndugu hz natengeneza mwnyewe kila kitu kasoro hiyo mp3 reader tu ndo nanunua ila kijumba na booster nasuka mwnyewe kbs hata mtu akitaka yenye uwezo zaidi namsukia

We unasema unpe 8000 wkt hiyo mp3 reader tu kkoo inauzwa 8000-10000
Bado vifaa nilivyotumia kusuka booster

Usivyo na aibu unataka na flash khaaaa aisee.
 
Mkuu unaweza kufix ukaunga na hiyo hapo? Au hii ukatengeneza ukaweka mfumo wa bluetooth na flash? Ina pia subwoofer yake chini ya kiti.
IMG_20210825_095950.jpg
 
Ndugu hz natengeneza mwnyewe kila kitu kasoro hiyo mp3 reader tu ndo nanunua ila kijumba na booster nasuka mwnyewe kbs hata mtu akitaka yenye uwezo zaidi namsukia

We unasema unpe 8000 wkt hiyo mp3 reader tu kkoo inauzwa 8000-10000
Bado vifaa nilivyotumia kusuka booster

Usivyo na aibu unataka na flash khaaaa aisee.
Hongera kwa ujuzi.
 
Hii avatar sio nzuri kutumia kufanyia biashara,
Ndugu hz natengeneza mwnyewe kila kitu kasoro hiyo mp3 reader tu ndo nanunua ila kijumba na booster nasuka mwnyewe kbs hata mtu akitaka yenye uwezo zaidi namsukia

We unasema unpe 8000 wkt hiyo mp3 reader tu kkoo inauzwa 8000-10000
Bado vifaa nilivyotumia kusuka booster

Usivyo na aibu unataka na flash khaaaa aisee.
 
Ningekuungisha ila kwa hiyo Avatar yako nenda kauze Lumumba blaza samahani lakini.
 
Back
Top Bottom