Kuna wimbo wa jamaa anaitwa PSY unaitwa Gangnam style, hebu nitajie kama umebebwa na vocal na melody ama beat pekee?Nakubariana na mtoa mada, ila beat pekee haiwezi ikafanya msanii akatoboa, kuna Melody, Vocal n.k...
By the way Beat ndo kitu inamvuta msikilizaji toka nyimbo inaanza....
Mm napenda sana hizi nyimbo 2 mpya za Davido, If na Fall....Beat, Melody, Vocal na Mashairi vyote vinanikosha..
Ngoja niusikilize then ntarudi Mkuu.Kuna wimbo wa jamaa anaitwa PSY unaitwa Gangnam style, hebu nitajie kama umebebwa na vocal na melody ama beat pekee?
Kwa kuwa nyimbo za kileo ambazo biashara ndio msingi sio ujumbe beats kali ni lazima.Hiki kitu naunga mkono.
Diamond kafanya wimbo na Neyo halafu umeisikia beat? Utacheka.
Darasa beat ya Muziki akaona imeteka watu kilichofuata? Akatoa hasara roho na utanitoa roho zikiwa na beat kama ile.
Ujinga ni kwamba hata ile muziki sikuona watu wameona nini mule lakini hizi mbili ni floppy.
Rayvanny katoa wimbo mpya, Zezeta, wimbo beat, melody mpaka vocal ya kawaida mno.
Pro WCB wanakwambia wimbo mkali. Huo wimbo ni mkali kwa masikio ya kitanzania lakini huo wimbo tukiutoa nje nani atasikiliza?
Shenzi.
G Nako na Belle 9 katika wimbo Go Low na Ma ole wamesoma alama za nyakati, ingawa G kakopi ngoma.
Ben pol kafanya poa kwenye huu wimbo 3, kuanzia beat, melody, vocal mpaka video.
Kuhusu beat tunaweza ongelea siku nzima.
Hiyo ni dhahiri, hizi beat za Fire ya Diamond waNigeria wameshtuka wamezikacha ingawa ni wao diyo walizileta kwetu.Kwa kuwa nyimbo za kileo ambazo biashara ndio msingi sio ujumbe beats kali ni lazima.
tatizo hapa kwetu ukiwaambia ukweli wasanii wetu unaonekana mnafki,lakini maproducer wa hapa bongo ovyo,yan bora wasanii waangalie mbadala wa producers wa bongoHiyo ni dhahiri, hizi beat za Fire ya Diamond waNigeria wameshtuka wamezikacha ingawa ni wao diyo walizileta kwetu.
P Square wakaaga hizo beat kwa ngoma ya Away, Ycee akaruka na Omo Alhaji na hata remix ya huu wimbo beat haikurudi na midundo ya kinigeria. Wizkid na Come Closer beat imehama iko level za dunia na wimbo umeruka mpaka huko.
Davido akaanza na If, kaja na Fall, Maleek Berry na Kontrol, Runtown kwenye Lagos to Kampala alikua kama siyo yule aliyeimba Gallardo.
Wasanii wetu sijui hawana washauri...
Mkuu umeeleweka lakini nna wasi wasi pengine wewe ndo hujui mziki au pengine hufahamu mashabiki wa mziki nje ya bongo wanahitaji nini,Unasema tutengeneze mziki kwa style yetu, Hilo hakuna aliyekataa lakini hyo style yetu inaenda na mdundo gani ili kushawishi dunia kusikiliza mziki wetu na sio wa nigeria?Hakuna Anae Ujua Mziki Humu. Nmefatilia Comment Zenu Nnachokiona Mnashndana Kutangaza Studio Zenu. Mnafungua Studio Wkt Hamna Elimu Za Mziki, Mnatuletea Mitazamo Yenu Pumba. Km Wabongo Hawanajui Kutengeneza Bit Hao Akina Kiba, Diamond, Rayvan Wangetoa Wap Hzo Tunzo Za Nje? Mnajua Maana Ya Mziki? Je Akitokea M2 Akaimba Accapela Au Acoustic Hauwezi Ukawa Wimbo Bora? Tunavutiwa Na Midundo Wengi Kwakua Hatujui Kinachoimbwa Lkn Mzk Unamambo Mengi Zaid Ya Beats. Soko La Mziki Toka Nje Kwa Bongo Huwa Lina Vuma Km Upepo. Km Ni Mwenyej Wa Dar Unakumbuka 80's Zlivuma Nyimbo Za Marekani Na U.K Na 90's Wakavuma S.A Na Congo, 200n's Wakarudi Tenda U.S, Saiz Ni Zamu Ya Nigeri Ni Swala Tu La Fans Wamevutiwa Na Ladha Ya Kule So Co Lazma Tuige, Tumeiga Hipop Ya Marekan Imewafksha Wapi? Mkaanza Kuimba Kwaito Ya S.A, Leo Mnataka Mzk Wa Nigeria, Wenu Upo Wap? Kwann Tusitengeneze Mzk Kwa Style Yetu Nigeria Wakaiga Kwetu? Mzk Unaenda Na Culture Ya Mahali Husika, Co Kuiga2 Km Kasuku.
Mkuu twende tartiiibu!!Nadhani toka umeingia jamii forums hili itakuwa post ilio legit toka kwako kuliko nyinginezo zote. Nishasemaga mziki ili uwe mzuri lazima production iwe nzuri...ni lazimaaaa!!!
Beats iwe inavutia kusikiliza kama si kuchezeka pia iwe mastered vizuri isiwe na kelele sana zinazoweza chosha kusikiliza.
Kwa sasa BigStrongSound ndio producer anaetisha kwa ku drop hits za Nigeria...Nyimbo kama IF ya Davido, sikiliza YAWA ya Tecno, RARA, DIANA utaona jinsi beat inavyoweza kufanya track iwe hit song.
Kwa Bongo recently T.Touch ana mkono mzuri wa kufanya hits bila kumsahau producer LUFFA.
Kwa T.Touch sikiliza Furaha ya young dee, Muziki ya darasa, Kiboko ya Mabishoo ya harmo rapa, Muziki ya darasa, Saka hela ya Ney wa mitego, bongo bahati mbaya n.k
Luffa sikiliza production ya Waya ya weusi, Juu ya jux na vanessa, Sina koloni ya Motra, Your body ya Godzilla na Maua sama, Go low ya jux na G nako n.k
Manecky kwake sikiliza, Nina imani nyimbo flani ambayo jux kashirikishwa, Acha niende ya Baraka d prince,Samboira ya ben pol, Sisikii jux, nyimbo nyingi za diamond za album ya kamwambie, nyimbo za mirror n.k
Nahreel pia ni mkali wa beats zinazofanya mziki mzuri anakaribiana na luffa kwa kiwango ni maarufu zaidi kuliko luffa...sikiliza Nobody ya vanessa mdee, Nusu Nusu ya weusi, Game ya navy kenzo, don't bother weusi, Safari ya weusi.
Ukiskiliza hizo productions utapata kuelewa beats zina nguvu kiasi gani katika kuifanya nyimbo idumu katika ubora wake hata baada ya kuchuja kwenye top charts za redioni/tv stations. Na hapo ndipo hasa wabongo tunapokoseaga
Wewe jamaa kwamba haujui tuzo zinakuja kutokana na kura au? Hata kama wimbo mbovu kabisa unaoujua wewe ukapigiwa kura na watu wengi ndiyo huo huo utaonekana bora.Hakuna Anae Ujua Mziki Humu. Nmefatilia Comment Zenu Nnachokiona Mnashndana Kutangaza Studio Zenu. Mnafungua Studio Wkt Hamna Elimu Za Mziki, Mnatuletea Mitazamo Yenu Pumba. ....
kabisa, niko tayari kumpa mifano kibao tuWewe jamaa kwamba haujui tuzo zinakuja kutokana na kura au? Hata kama wimbo mbovu kabisa unaoujua wewe ukapigiwa kura na watu wengi ndiyo huo huo utaonekana bora.
Hoja yako ya kwamba hatujui muziki kwakua hizi nyimbo zinachukua tuzo ni mufilisi haina mashiko.
Beat ina mchango hutaki sema tuanze kwenda kwa mifano
Mnakera sana mnao quote Uzi mzimaMkuu twende tartiiibu!!
Production ndio nini (nataka tuende sawa)
Production ni utengenezajiMkuu twende tartiiibu!!
Production ndio nini (nataka tuende sawa)