jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Kufyatua santuri au kutengeneza nini mkuu?Production ni utengenezaji
Usichoke maswali bado mengi tu ili milango ya kuufahamu muziki ikufunguke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufyatua santuri au kutengeneza nini mkuu?Production ni utengenezaji
Kachezee fruit loop huko nawe ujiite peoduza!!!Mnakera sana mnao quote Uzi mzima
Nakubali wanigeria ni wa kawaida.Km Hamtaki Acheni Ila Maproducer Waliosoma Hawawez Kusikiliza Mawazo Yenu....
Asante kwa mifano murua kabisaNakubali wanigeria ni wa kawaida.
Na hapa ishu siyo kukopi ishu ngoma unayotengeneza kwa mahadhi yake itatoboa mpaka wapi? Mfano hii beat ya Lavalava ya wimbo wa Tuachane tufanye anaamua kufanya kolabo na msanii kutoka Marekani, Korea, Japan au Uholanzi unaona msanii wa huko akiingia?
Unatumia kichaka cha kusema tuache kukopi, acha ubishi.
Sasa jiongelesheee lakini kumbuka enzi za gangster rap ambayo yenyewe iliwakuta wakina mc hammer, ikapotea gangster rap wakaja wakina T Pain hapo Jay Z akatoa Death of Autotune, Nas akatoa Hip Hop is dead.
Raisi wetu wa Manzese akatafsiri kwamba hip hop inaelekea ukingoni na haiuzi kumbe wenzake walimaanisha ile traditional hip hop inatokomea, kutokomea huko kulienda sambamba na beat.
Wakina TI wakaipopularize Trap beat, wakina Snoop pumzi ikakata. Leo hii beat ya Hip Hop ya huko mbele isingesikilizwa na yeyote kipindi NWA wanatoa Fvck The Police. Hizo beat zimebakia kuimbiwa cypher BET.
Wewe uko bize kubisha kwa hoja zisizo na mashiko. Kama hao producer wanaona kushinda sisi yule mbuzi aliyetengeneza Hasara Roho na Utanitoa Roho ya Darasa asingethubutu kupita kwenye reli ile ile ya Muziki angemshauri kitu kingine kabisa.
Unaleta story za fanbase, kuna msanii alikua na fanbase kushinda Juma Nature hapa kwetu? Kilichomtoa mchezoni ni nini? Kashindwa kwenda na nyakati wakati kuna wenzake wapo tu.
Wewe unakazana kusema watu hatujui muziki, rudi hapa na mifano.
kumbe hili tumeliona wengiI am going straight to the point, I think it is high time sasa Bwana Chibu atafute producer mwingine mbali na Lizer.
mkuu nadhani hujamuelewa ndugu pale ni kwamba ishu sio kupiga beats kama za nigeria ama ghana ama south ishu tutengeneze beats nzuri za kuvutia msikilizaji hata haelewi kilichoimbwa bas atafata tu mdundoKm Hamtaki Acheni Ila Maproducer Waliosoma Hawawez Kusikiliza Mawazo Yenu, Ndo Maana Bongo Movie Imekwama Kwa Tabia Ya Kucopy, Angalia Movies Za Wamarekan, India, China, Korea, Haya Nimataifa Yenye Ushndan Na Kila Mmoja Anataka Cha Kwake Kiwe Bora. Na Mziki Upo Hivyo, Ss Unasema Tatzo Beats Nitajie Wimbo Uliousikia Hapa Bongo Uco Na Beat. Producers Wetu Wanafanya Kaz Nzr Na Wala Hawawezi Kusikiliza Ushauri Wenu, Km Kuna K2 Mmekiona Nadhani Wao Wanauwezo Wa Kuona Zaid Yenu. Ninyi Mnapagawa Na Mafanikio Ya Nigeria, Wale Wana Fanbase Kubwa Na Wanapeana Support Ndo Maana Unaona Akina Davido Wapo Juu. Km Unauza Vzr Kwa Population Ya Nigeria, Huwez Kushndwa Kutoa Quality Video. Lkn Wa Naigeria Ni Wakawaida Tu.
Hatua zote za utengenezaji nyimbo.Kufyatua santuri au kutengeneza nini mkuu?
Usichoke maswali bado mengi tu ili milango ya kuufahamu muziki ikufunguke.
Mnaweza mkanikosoa tu wadau lakini nimekua na naendelea kufatilia kukua na kushuka kwa mziki wetu "BongoFlava" lakini pia nafatilia sana mziki kutoka "Nigeria" SouthAfrica" pamoja na huko "Mbele" na kwa kipindi cha mwanzo nlikua nahisi pengine ni "Lugha" yetu ndo inatufanya tusipenye zaidi kwenye nchi nyingi za afrika na duniani lakini nkagundua hapana sio lugha kwasababu kuna nchi wanaongea lugha hata hazieleweki lakini mziki wao unachezwa na kusikilizwa duniani kote sasa kwanini huu wabongo haupenyi huko mbele kulinganisha na mziki wa south africa na nigeria?
Pengine ni mashairi? Lakini hapa napo nkaja kugundua kua bongo kuna watu wanajua kupanga mashairi vizuri kuliko hata hao wanigeria sasa kwanini hatutoboi kwa wingi? chukulia nyimbo ya Davido hii mpya inaitwa "Fall" sikiliza kwa makini mashairi yake yani ni vitu vya kawaida tu anaongea humo ndani, "Mara banana follow you" yani vitu vya ajabu tu
Alaf njoo linganisha na ngoma labda ya "Ben Pol" tu "Moyo Mashine" ambayo ukiskiliza mashairi nikweli yamepangwa na yakapangika
Sasa kwanini ya ben pol haijatoboa afrika nzima kama hii ya davido inavyozidi kutoboa??
Bado naendelea kujiuliza lakin nilichogundua kwa haraka haraka ni "BEATS" zinatuangusha sana tena sana,Wanaigeria wanabebwa kwa asilimia 90 na beats zao na kusema ukweli wanajua kutengeneza beats zikakufanya ucheze tu hata kama hutak,
Chukulia mfano mdogo tu wa hii ngoma ya underground wa nigeria inaitwa "Gimme Love" ya dogo mmoja anitwa "ryan" isikilize hyo beat utasema jamaa ni bonge la star kumbe ni underground tu lakini hyo beat ni balaa
Alaf njoo kwa underground wetu huku utakuta ana mashairi mazuri tu lakini kwa hizi beat zetu inakua kazi yote ni zero tu
Kwangu mimi naona tatizo liko kwa ma Producer wetu hawatupi vitu ambavyo vinashawishi kila mtu kusikiliza, Sijajua kwenu nyie wadau mnaona tatizo liko wapi????