Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Unahangaika na mtu from Zero to Hero, with Bloody and Pain.Tamaa zinaendelea kuwaponza wanawake,muheshimu mumeo u super woman hauna maana kwenye familia.Inavyoonekana huyo mama aliona mali zipo na mume hana Cha kumtisha Kwa hiyo kilichobaki ni talaka ili tugawane mali afu mali zenyewe asilimia zaidi ya 85 ni jasho la mwanaume.Mimi mwenyewe nakuwahisha ahera japo mwamba kazingua zaidi kuua watoto
Mwanamke aliomba talaka..I wish angejiondokea zake tu kwa amani pasipo kusababisha hayo maafa, kama anavyo onekana kwenye hiyo picha.
Angemkubalia tu ili wamalizane kwa amani na kila mtu kuendelea na maisha yake. Kinyume na hapo angejishusha na kuonekana mjinga ili waondoe tofauti zao (kama angekubali) na maisha kuendelea. Hii hatua ya kuua imekaa kikatili na ina hasara nyingi kuliko faida.Mwanamke aliomba talaka..