Mzimu wa Hayati Baba wa Taifa ukifufuka kila mtu ataingia chini ya uvungu

Mtoa mada unaonekana una hofu ya jambo lisilokuwepo, mada zako nyingi zinaonyesha hilo.
 
Kama ulimuua Ben saanane kama ulivyokuwa unamtishia hapa na ushaidi upo mzimu wake hatokuacha huru mpaka unaingia kaburini nakushauri utumie muda huu kutubu humuhumu ulikokuwa unamtolea vitisho

Huyu jamaa sidhani kama ni wa kawaida.

Huwa ninamfuatilia saa TumainiEl
 
Nini mzimu wake huyo Nyerere yeye mwenyewe akifufuka atapewa shit tu!!!

Chezea kizazi kipya wewe!!! Kuna chuma kinaitwa Job Ndugai a.k.a Subwoofer

Msekwa na ushiriki wake wa kuandaa katiba tunayoitumia sasa kapewa shit tena shit la dharau kwelikweli kaambiwa wa kizamani mambo mapya hayajui

Huyo Msekwa ndio yupo hai sasa itakua huyo Nyerere tena baada ya kufufuka katika wafu sanasana atapelekewa wasiojulikana afutiliwe mbali

Usifanye mchezo na "MITANO TENA"
 
More than 3times...

Ile ndio ilikuwa tz [emoji2][emoji2]

Hii tz ya sasa imejaa mazezeta wengi sana

ivi vitoto na siasa zao uchwara hawawezi elewa haya mambo, wao akishachaguliwa mbowe, lema, lissu basi tayar kuna demokrasia nchini, kwa kifupi tuna safari ndefu sana ya hii nchi watu kujitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…