Mzimu wa Tom Mboya katika akili za wasanii wa Kenya

Joined
Jun 30, 2015
Posts
38
Reaction score
14
The late Tomy Mboya alikuwa ni muumini mkubwa wa ujamaa ambaye alitamani kuiona Kenya ikiwa socialist country hata hivyo mpaka anaivuta pumzi yake ya mwisho ndoto yake haikutimia.

Siku za hivi karibuni kumekuwa na maandamano makubwa ya wasanii wa Kenya wakiilazimisha Serikali kutunga sera ambayo itawapa fursa zaidi wasanii wa kenya kupata airtime kuliko wasanii kutoka mataifa mengine!

HAKIKA HIZO NI FIKRA ZA KIJAMAA KATIKA ULIMWENGU WA KIBEPARI.Muziki mzuri hauhitaji sera ya Serikali ili kukubalika,lakini pia hata hiyo sera sio suluhisho sahihi kwani maendeleo ya science&technology yanawapa uhuru wakenya kupata muziki mzuri kuna Itune,mziiki,mdundo,Youtube.

Ruksa kutoa hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…