Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 11, 2012 #21 TUKUTUKU said: Siyo kweli kafiri ni non muslims.Hau unataka kutuaminisha hakuna waislamu waofanya uzinzi na uasherati? Click to expand... Usiikurubie zinaa hayo ni maneno ya kwenye kitabu kitukufu cha Waislam, kama umeenda nayo against, basi wewe umeukiuka uislam na ni kafir
TUKUTUKU said: Siyo kweli kafiri ni non muslims.Hau unataka kutuaminisha hakuna waislamu waofanya uzinzi na uasherati? Click to expand... Usiikurubie zinaa hayo ni maneno ya kwenye kitabu kitukufu cha Waislam, kama umeenda nayo against, basi wewe umeukiuka uislam na ni kafir
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,041 Dec 11, 2012 #22 giLESi said: Usiikurubie zinaa hayo ni maneno ya kwenye kitabu kitukufu cha Waislam, kama umeenda nayo against, basi wewe umeukiuka uislam na ni kafir Click to expand... Je ni dini gani unayozani inasisitiza waumini wake wafanye uzinzi na uasherati?
giLESi said: Usiikurubie zinaa hayo ni maneno ya kwenye kitabu kitukufu cha Waislam, kama umeenda nayo against, basi wewe umeukiuka uislam na ni kafir Click to expand... Je ni dini gani unayozani inasisitiza waumini wake wafanye uzinzi na uasherati?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 11, 2012 #23 Dini za asili. TUKUTUKU said: Je ni dini gani unayozani inasisitiza waumini wake wafanye uzinzi na uasherati? Click to expand...
Dini za asili. TUKUTUKU said: Je ni dini gani unayozani inasisitiza waumini wake wafanye uzinzi na uasherati? Click to expand...
SMU JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 9,613 Reaction score 7,889 Dec 11, 2012 #24 Fornicator (muasherati) v Adulterer (mzinzi/mzinifu)