Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Siyo kweli kafiri ni non muslims.Hau unataka kutuaminisha hakuna waislamu waofanya uzinzi na uasherati?
Usiikurubie zinaa hayo ni maneno ya kwenye kitabu kitukufu cha Waislam, kama umeenda nayo against, basi wewe umeukiuka uislam na ni kafir