Mzinzi ni nani?

Mzinzi ni nani?

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
Nimekua nikitafakari hasa nini maana halisi ya neno Mzinzi nakosa majibu ,mwenye uwezo wa kutoa maana sahihi tafadhari asisite kutiririka !
 
Mzinzi ni yule anaemega au kumegwa nje ya ndoa takatifu...
 
Mtu alieoa au kuolewa afu anafanya kazi za nje huyo ndo mzinzi, ila kama hajaoa wala kuolewa huyo ni muasherati
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom