Mzize kwenda Azam ni kujimaliza kisoka

🦁 nyie hangaikeni na Ngunguri wenu,tuacheni siye wananchi😝
 
Aende akavute mpunga,abaki Yanga Ili awe maskini au?
 
Mzize yupo yanga
 

Attachments

  • 26A39F7D-04CB-4168-B7DC-49A3FCCC819A.jpeg
    1.3 MB · Views: 2
Nilishangikia mashujaa wawafunge azam. Yaani nafasi ya pili kwa azam ni big no. Huwa wanatufelisha sana kimataifa.
 
Nje ya yale Mahaba na maudhi yako ya utani😁, nilishaku spot kuwa una akili kubwa ingawa hiyo pia huwa unafanya jitihada za kuificha.
 
Kwa kiwango cha mzize, me namshauri achukue hio hela, ni nyingi sana kwake. Anaweza asiipate tena akileta mchezo.
 
hawezi kwenda
 
Kwa mchezaji wa kitanzania, Yanga na Simba ndio dili la juu la mwisho la kulamba, hakuna kusonga mbele zaidi. Kwanini? Simba na Yanga hazina maono yoyote ya kumfanya mchezaji asonge mbele. Hali ni tofauti kabisa kwa Azam ambapo ni rahisi mnoo mchezaji kusonga mbele zaidi kwa kuwa wana huo utaratibu tena rasmi kabisa.
 
Halafu hiyo exposure itamsaidia nini ikiwa Yanga hawana mpango wowote wa kumpeleka mbele zaidi ya Yanga?
Ulisikia kutoka kwa nani? Unafikri anavyoonekana kimataifa ataishia Yanga? Yaani unataka aende Azam aishie Chamazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…