Kankra
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 203
- 140
Salareeeeeeeeeee!!!!!
Ndugu zangu tu_share mbinu kidogo za kuongeza confidence na discipline tuwapo kitandani.
Chukua mzizi wa mpapai uoshe, utwange na kisha uchemshe hakikisha unabakiza glas 3 tumia 1×3 afu jioni mnong'oneze mama yoyoo utajileta mwenyewe kunishukuru.
Nyongeza:
Pendelea kutumia asali mbichi na kitunguu saum kibichi.
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]