Mzizi wa mpapai suluhisho la nguvu za kiume

Kankra

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
203
Reaction score
140
Salareeeeeeeeeee!!!!!

Ndugu zangu tu_share mbinu kidogo za kuongeza confidence na discipline tuwapo kitandani.

Chukua mzizi wa mpapai uoshe, utwange na kisha uchemshe hakikisha unabakiza glas 3 tumia 1×3 afu jioni mnong'oneze mama yoyoo utajileta mwenyewe kunishukuru.

Nyongeza:
Pendelea kutumia asali mbichi na kitunguu saum kibichi.
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Kwa hali inavyoendelea kufikia mwakani mkojo wa nguruwe au gamba la konokono utakuwa suluhisho la nguvu za kiume!!! kweli poteza vyote ila si nguvu za kiume utanyweshwa vitu vya ajabu hutaamini!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani kazi ya nguvu za kiume nini? [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] kufanya kazi ngumu za kiume au?
 
twende tukalale lodge utazijua zikoje
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani kazi ya nguvu za kiume nini? [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] kufanya kazi ngumu za kiume au?
kufanya kazi ngumu za kiume ni mijinguvu ya kiume,kazi ya nguvu za kiume ni kupeleka nguvu za kike kileleni hukooooo mlima kilimanjaro.
 
Salareeeeeeeeeee!!!!!

Ndugu zangu tu_share mbinu kidogo za kuongeza confidence na discipline tuwapo kitandani.

Chukua mzizi wa mpapai uoshe, utwange na kisha uchemshe hakikisha unabakiza glas 3 tumia 1×3 afu jioni mnong'oneze mama yoyoo utajileta mwenyewe kunishukuru.

Nyongeza:
Pendelea kutumia asali mbichi na kitunguu saum kibichi.
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Tatizo avator yako ni ya Man u. Unadhani watakuamini mkuu??
 
aisee wakina mama nao wanabuni njia za kupunguza makali ya hizo dawa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani kazi ya nguvu za kiume nini? [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] kufanya kazi ngumu za kiume au?
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom