directortanzania
Member
- Jul 4, 2013
- 38
- 23
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari yako? Uwe unakula kitunguu saumu punje 1 kila siku unapo amka asubuhi huku ukichanganya na asali kijiko 1 na wakati wa usiku kula tena kitunguu saumu punje 1 changanya na kijikoMziziMkavu,
Awali nikupongeze wewe na wengine wanaosaidia kwenye jukwaa hili la JF Doctor. Sasa nawaombeni msaada wa namna ya kutumia vitunguu swaumu ili kuongeza uwezo wangu wa sex kunako 6 kwa 6.
Tafadhali nahitaji msaada wenu sana.
Unauliza swali kwani wewe ni mwanamme?Kitunguu saumu ynatumbukiza tundu gani?
astaghafirullah;
Kitunguu saumu ynatumbukiza tundu gani?
astaghafirullah;
Habari yako? Uwe unakula kitunguu saumu punje 1 kila siku unapo amka asubuhi huku ukichanganya na asali kijiko 1 na wakati wa usiku kula tena kitunguu saumu punje 1 changanya na kijiko
kimoja cha asali itakusaidia kuongeza sex driver kitandani. Pia unaweza kukiponda ponda kitunguu Saumu kipunje
kimoja kisha ukajiweka ndani ya sehemu ya haja kubwa kwenye tundu ya haja kubwa (anus) nusu saa kabla ya tendo la ndoa
utakuwa na nguvu za ajabu za kiume jaribu uje unipe feedback. Na dawa ingine ya kuongeza speed ya tendo la ndoa
tumia kila siku Asali kijiko kimoja uchanganye na unga wa Mdalasini kijiko kimoja kidogo na unga wa Tangawizi kavu
uchanganye hivyo pamoja uwe unakula na tango 1 kila siku asubuhi kabla ya kula kitu basi utakuwa na Speed ya tendo la ndoa mpaka
Mke au mpenzi wako ataona ajabu leo umekuwa namna hivyo? nguvu zimeongezeka ajabu? Tumia kisha uje unipe
feedback.
Kitunguu saumu unatumbukiza tundu gani?
astaghafirullah;
Haaaaaaaa haaaaaaa haaaaaaa mm napita tuuu.!
Unauliza swali kwani wewe ni mwanamme?
Pia unaweza kukiponda ponda kitunguu Saumu kipunje
kimoja kisha ukajiweka ndani ya sehemu ya haja kubwa kwenye tundu ya haja kubwa (anus) nusu saa kabla ya tendo la ndoa
utakuwa na nguvu za ajabu za kiume jaribu uje unipe feedback. .
mzee mbona kuna njia nyingi humu za kuongeza nguvu ila unataka kitunguu saumu? Basi pitia thread zinazohusiana na mambo hayo,hata mzizimkavu huwa anachoka.
Si ndio dawa yenyewe kitunguu saumu ukiingiza kwenye tundu inayotowa haja kubwa kwa mwanamme inasaidia kuiapa nguvu mishipa ya damu na kumpa nguvu mwanamme afanye kazi yake vizuri anapokuwa yupo kitandani kucheza mpira vizuri na kushinda magoli kiurahisi huku akiwa na nguvu za kiume hahahahahh chezea wewe MziziMkavu Hauchimbwi dawa.Aisee hakileti ule ukakasi wake wa kuwashawasha huko eneo??
SASA NIMEAMINI...Only Do What Your Heart Tells You
Kamanda nimekubali wewe ni mwisho .....ya leo ni mupyaaa!Si ndio dawa yenyewe kitunguu saumu ukiingiza kwenye tundu inayotowa haja kubwa kwa mwanamme inasaidia kuiapa nguvu mishipa ya damu na kumpa nguvu mwanamme afanye kazi yake vizuri anapokuwa yupo kitandani kucheza mpira vizuri na kushinda magoli kiurahisi huku akiwa na nguvu za kiume hahahahahh chezea wewe MziziMkavu Hauchimbwi dawa.
Na dawa ingine ya kuongeza speed ya tendo la ndoa
tumia kila siku Asali kijiko kimoja uchanganye na unga wa Mdalasini kijiko kimoja kidogo na unga wa Tangawizi kavu
uchanganye hivyo pamoja uwe unakula na tango 1 kila siku asubuhi kabla ya kula kitu basi utakuwa na Speed ya tendo la ndoa mpaka
Mke au mpenzi wako ataona ajabu leo umekuwa namna hivyo? nguvu zimeongezeka ajabu? Tumia kisha uje unipe
feedback.
Nani kakwambia Dawa za Mitishamba zina madhara wewe ? ukiacha poa unatumia kwa ajili ya matatizo sio wewe hauumwi unatumia dawa ya nini?Mkuu, ina maana ukianza kutumia hii kitu je, iwapo utaacha baadae madhara yake ni nini? au ni kama viagra ukianza itumia yakupasa uitumie maisha yako yote?
Kwani kuna ubaya gani kuweka kitunguu saumu kwenye Anus yake?Astaghafirullah Laadhim!!!!!!!!!aweke kitunguu kwenye anus hmm!!!!!!!!