Mzizimkavu njoo

Mzizimkavu njoo

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Pole kwa usumbufu pia kwa wanajamii yeyote anaejua anaweza kuchangiaa hapaa.

Nimekua nikinywa maji ya moto yaliyochanganywa na limao nakunywa glas tatu jioni napotaka kulala na asubuhi kila nikiamka kabla sijanywa chai!

Sasa nikiyanywaa tumbo linanivurugaa sanaa mpaka nakua najisikiaa vibayaa mno sasa najiuliza ninakosea kuyanywa au nazidisha nakunywa mengi mno maana kuna mtu aliniambia niwe nakunywa glasi nne ili kupunguza mafuta mwilin,nimeshindwaa nakomea kunywa glas tatu tu.

Pia uniambie nichanganye na nini kingine ili nipunguze mafuta mwilinii maana huu unene unaokuja sio kabisaaa tutakimbiwaaa kama huna ushauri pitilizaa kabisa!
MziziMkavu
 
Pole kwa usumbufu pia kwa wanajamii yeyote anaejua anaweza kuchangiaa hapaa
Nimekua nikinywa maji ya moto yaliyochanganywa na limao nakunywa glas tatu jion napotaka kulala na asubuhi kila nikiamka kabla sijanywa chai!
Sasa nikiyanywaa tumbo linanivurugaa sanaa mpaka nakua najisikiaa vibayaa mno sasa najiuliza ninakosea kuyanywa au nazidisha nakunywa mengi mno maana kuna mtu aliniambia niwe nakunywa glasi nne ili kupunguza mafuta mwilin,nimeshindwaa nakomea kunywa glas tatu tu
Pia uniambie nichanganye na nini kingine ili nipunguze mafuta mwilinii maana huu unene unaokuja sio kabisaaa tutakimbiwaaa kama huna ushauri pitilizaa kabisa! !!!!!
MziziMkavu

hahahaha unamkwara wewe wewe eti pitia mbali
 
Last edited by a moderator:
Siku nyingne usi limit manake sie wengne tunaogopa pengne ushauri wetu ukauchukulia nyanya mbichi,ngoja aje mlengwa,pengne ni doctor wako unaemwaminia na kweli ni dokta mzuri tuu.
 
Pole kwa usumbufu pia kwa wanajamii yeyote anaejua anaweza kuchangiaa hapaa
Nimekua nikinywa maji ya moto yaliyochanganywa na limao nakunywa glas tatu jion napotaka kulala na asubuhi kila nikiamka kabla sijanywa chai!
Sasa nikiyanywaa tumbo linanivurugaa sanaa mpaka nakua najisikiaa vibayaa mno sasa najiuliza ninakosea kuyanywa au nazidisha nakunywa mengi mno maana kuna mtu aliniambia niwe nakunywa glasi nne ili kupunguza mafuta mwilin,nimeshindwaa nakomea kunywa glas tatu tu
Pia uniambie nichanganye na nini kingine ili nipunguze mafuta mwilinii maana huu unene unaokuja sio kabisaaa tutakimbiwaaa kama huna ushauri pitilizaa kabisa! !!!!!
MziziMkavu
Ila naona kwa limao na maji ya moto pekee ni kulitesa tumbo!!! Uwe makini usikaribishe vidonda vya tumbo. Mimi ninaamini Sana mchanganiko wa asali +mdalasini+maji ya vuguvugu. Hii imesaidia wengi. Ngoja Dr. MziziMkavu aje akupe dose.
 
Mie mwenyewe nakunywa maji japo mie siweki limao na niliambiwa tumbo likivurugika eti ndo yanafanya kazi mwilini sasa sijui kama ni kweli

Shost ila toka nimeanza kunywaa najisikia mwepesii maana mapigo ya moyo yalikua yananienda kasiiu mno sijui ni mafutaa lol
 
Shost ila toka nimeanza kunywaa najisikia mwepesii maana mapigo ya moyo yalikua yananienda kasiiu mno sijui ni mafutaa lol

Mie huwa nakonda kabisa halafu naacha tena najinenepea halafu tena nakumbuka kuanza kunywa maji
 
Kweli unene haupedwi.... jaribu kupunguza kula vitu vya ngano na pia mi huwa nakula matunda tu usiku.... pasipo chakula cha nguvu

uwe makini vilevile, siku nyingine mechi inaweza kuwa nzito halafu matunda ya kuongezea energy ndo hayamo kwenye friji ukaishia hospitali!
 
Au nikakope pesa benkiii halaf nishindwe kulipaa! !!!!
 
Back
Top Bottom