Mzizimkavu njoo

Kwa habari ya uzito na unene kupita kiasi soma maelezo yafuatayo https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/150454-chanzo-cha-vitambi-uzito-na-unene-kupita-kiasi.html



Kwa habari ya kunywa maji soma maelezo yafutayo:
 
Mpendwa shosti... hujakosea uendelee 4 glasses of warm water yaliyo na vipande vya ndimu au limao kama ulivyoelekezwa.... mapema asubuhi uvumilie kwa siku kadhaa. sasa wewe ndiyo kwanza umeanza wataka tija hap kwa hapo? in-Shaallah utapunguza unene/mafuta hadi mwenyewe uyatamni tena!! Na usihofie kukimbiwa !! nitakupa kakangu
yupo singo!!
 
We toa ushauriii si nimesema na wengine piaa
Jitahidi kula kiasi hasa nyakati za usiku kwani umri unavyoongezeka kuna baadhi ya vyakula havihitajiki sana mwilini, pia inategemea ubonge wa eneo gani kama chini ya kiuno (hips) its Okay ila kama ni juu ya kiuno hapo komaa na lishe ya kiasi pia usijibwete sana pale unapopata nafasi ya kutembea tembea (Ushauri wangu ni wa kwenye kijiwe cha kahawa tusubiri MziziMkavu atasema nini maana yeye ndio approved kuzungumzia haya mambo)
 
Last edited by a moderator:

Ahsante kwa ushauriiu bro!!!
 
Last edited by a moderator:

Hahhhahhhahha uwiii ntaendeleza libeneke mpaka kielewekee kwan huyo kaka yako anapenda mabongee !!!!kaka yako anapenda kuchaguliwa wachumbaa!!
 
Kupunguza uzito unahitaji moyo. Ukiona umeweza kupunguza uzito maana yake ni kuwa kiwango cha kalori/nishati ulichokula ni kidogo kuliko ulichotumia. Ujanja wa kupunguza uzito ni kujihakikishia chakula unachokula ni kidogo kuliko matumizi yako nishati ya mwili. Jambo la kuzingatia ni kuwa upunguzaji wako wa chakula uzipunguze kiwango cha viinilisha vya Vitamini na madini katika mwili, bali upunguze nishati tu.
Nijia nzuri ni ile ya mazoezi pamoja na kupunguza vyakula hasa vyenye asili ya mafuta na wanga uliosafishwa na kuhamia kwnye vyakula vyenye mafuta kidogo na vilivyotokana na nafaka ghafi kama mkate wa brown, ugali wa dona nk. Nija za kiradikali za kupungza uzito kama hiyo unayotumia wakati mwingine matokeo yake hayadumu kwani ngumu kuendelea nazo kwa muda mrefu. Ni vizuri kubadili mfumo wa ulaji bora na mazoezi ambayo unaweza kuudumisha kwa maisha yako yote.
 
dactari bingwa MziziMkavu uko wapi?.come this way sir,your patient is in a critical condition,he/she is waiting for medical prescription.lol
 
Last edited by a moderator:
Bibie Umekosea kitu kimoja kuongeza na Asali jaribu kuwa ukinywa hayo maji

glasi 3 kabla ya kula kitu utie na Asali Safi ya nyuki isiyochakachuliwa kijiko kimoja kikubwa utie

hiyo Asali kila unapo kunywa hayo maji ya uvuguvugu asubuhi na jioni fanya hivyo tumbo lako

halitachafuka usinywe maji na limau peke yake weka na asali lakini Asali iwe ya ukweli sio Asali

feki hongera kwa kufanya hivyo.
 

Ahsantee maana nimekusubiri mpaka napiga miayo lol shukrani sana doctor wetu ubarikiwee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…