Bibie Umekosea kitu kimoja kuongeza na Asali jaribu kuwa ukinywa hayo maji
glasi 3 kabla ya kula kitu utie na Asali Safi ya nyuki isiyochakachuliwa kijiko kimoja kikubwa utie
hiyo Asali kila unapo kunywa hayo maji ya uvuguvugu asubuhi na jioni fanya hivyo tumbo lako
halitachafuka usinywe maji na limau peke yake weka na asali lakini Asali iwe ya ukweli sio Asali
feki hongera kwa kufanya hivyo.
Acha basii mazoezi sasa ni kipajii hebu nitajie rahis rahis nianze kufanyaaa miee nataka niwe modo
sio tipwatipwa, ule wenye nyama nyama za kushika sio kimbaumbau....Wanene waajee unene ni ugonjwaa
haya.....Hakuna tatizo chaguo lako lipo kibao huwez kosaaa mkuu
Acha basii mazoezi sasa ni kipajii hebu nitajie rahis rahis nianze kufanyaaa miee nataka niwe modo
Pole kwa usumbufu pia kwa wanajamii yeyote anaejua anaweza kuchangiaa hapaa.
Nimekua nikinywa maji ya moto yaliyochanganywa na limao nakunywa glas tatu jioni napotaka kulala na asubuhi kila nikiamka kabla sijanywa chai!
Sasa nikiyanywaa tumbo linanivurugaa sanaa mpaka nakua najisikiaa vibayaa mno sasa najiuliza ninakosea kuyanywa au nazidisha nakunywa mengi mno maana kuna mtu aliniambia niwe nakunywa glasi nne ili kupunguza mafuta mwilin,nimeshindwaa nakomea kunywa glas tatu tu.
Pia uniambie nichanganye na nini kingine ili nipunguze mafuta mwilinii maana huu unene unaokuja sio kabisaaa tutakimbiwaaa kama huna ushauri pitilizaa kabisa!
MziziMkavu
Jaman nashukuru kwa wote mlionioa ushauriii shukran sanaaa