"Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

Ushakua kibogoyo wa fikra mzee wangu.Kwa post hii umechuja mbaya mbovu yan...aibu naona mimi
 
[emoji706]
 
Nilitaka nikujibu lakini niposikia ulikimbiwa na mke nimeacha
 
Uharo
 
Lugha yetu inasema: "Usikatae wito, kataa neno" wao wamekataa wito bila hata kusikia neno sasa watalikataaje litakapokuja? Wanawake hao wanajulikana na kupendwa kwa ujasiri wao wa kupigania haki zao na zetu sote leo huu woga wa kuhojiwa na kujitetea mbele ya wanachama wenzao umetoka wapi? Kama wabunge wa upinzani wameanza kuwa waoga hivyo mbele ya wenzao waliozoeana miaka mingi, je wao 19 tu wataweza kweli kutuwakilisha ndani ya Bunge la Chama Tawala bila woga? Ngoja tuone walikwendakwendaje huko!
 
Shwaini, kima
 
We nae si utuliee!?masanja akiimba verse ww unapiga chorus au ....MATAGA BUANA!!
 
Hakuna akidi ya kub hapo...ni mwendo wa kusif na kuabudu
 
Naona umeamua kulamba miguu ya mdee, jisimamie mzee baba, unatia aibu
 
watamcheleweshea raisi wetu mpendwa kutuleta maendeleo hatuwataki waendo bungeni kuukwamisha maendeleo
Kwakua mke wako hayumo ndio maaana unasema ivoooo, angekuwemo mke wako, ungesema hao nimakamanda. Sasa ndo ivoooo, wenzio niwabungeee
Hakuna akidi ya kub hapo...ni mwendo wa kusif na kuabudu
imeisha iyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…