"Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

Andiko zuri lkn watu wametekeleza
 
Chadema wakubali yaishe. Walishiriki uchaguzi ili wapate kura .Wamepata wabunge 20.Si haba wawape ushirikiano wawashe moto bungeni. Waendelee kujenga chama. Na waongee hoja bungeni. Maana huku nje wakiongea wanaitwa wachochezi.

Kawashe ww huo moto bungeni.
 
We ni wakupuuzwaaa
 
Kujikomba huku kwa Paschal Mayala,mpaka inatia kinyaa.Magufuli Ana aKili Sana.Mtu Kama huyu Magufuli hawezi kumpa hata ukatibu Kata.Maana anajua watu Kama Hawa hawawezi ku-perfom.Wanataka vyeo ki-mteremko wa MLIMA KITONGA bila kutoka jasho.
 
Historia itakukumbuka kama mwandishi wa habari asiye na busara, hekima wala maadili. Binafsi nitakukumbuka kwa hilo.
Mkuu unamlaumu bure mwandishi ,nadhani ungejibu vile vifungu vilivyoainishwa badala ya kumlaumu mwandishi,sijui unamlaumu kwa lipi,je ni uongo aliyoandika ambayo Halima kayasema? Chadema mna tatizo sana hamtaki kuelewa pale mnapoambiwa ukweli
 
Kujikomba huku kwa Paschal Mayala,mpaka inatia kinyaa.Magufuli Ana aKili Sana.Mtu Kama huyu Magufuli hawezi kumpa hata ukatibu Kata.Maana anajua watu Kama Hawa hawawezi ku-perfom.Wanataka vyeo ki-mteremko wa MLIMA KITONGA bila kutoka jasho.
Mkuu unamlaumu bure mwandishi ,nadhani ungejibu vile vifungu vilivyoainishwa badala ya kumlaumu mwandishi,sijui unamlaumu kwa lipi,je ni uongo aliyoandika ambayo Halima kayasema? Chadema mna tatizo sana hamtaki kuelewa pale mnapoambiwa ukweli
 
Ningekuwa wewe, ningeomba moods wakanisaidia kufuta huu uzi. Nina uhakika mpaka sasa utakuwa unajuta kwa nini uliamua kuandika haya. Pole sana.
 
Hahaha tume chinja na kunyonga mzee mwenzangu, hapo vipi?!

Ilikuwa siku yetu, masikio na macho yote yalikuwa Bahari Beach Hotel.

kesho yenu tutataka kusikia CCM mnaamuaje, muwape kadi za uwanachama, wateuliwe watano bungeni waliobaki wakuu wa wilaya na mikoa.

Ccm hamshindwi mavyeo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…