"Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

Mkuu huyo jamaa humu kishajidharaulisha kuliko mwanachama yeyote aliyewahi kutokea hapa jamvini. Hawa ndiyo watu wanajiita wasomi lakini hawakuelimika hata chembe. Upuuzi wanaouandika ambao hauingii hata akilini unashangaza sana.
Huyu bwana tunachoweza kusema in kuwa kazeeka vibaya kama Lyatonga Mrema
 
Kwa hili tukio lilivyochezwa kitoto na mfumo ingemchukua halima mdee miaka 100 kuitika wito wa kamati kuu...

Hua siamini kama kuna mtu na akili zake timamu anaamini lipo jambo limejificha hapa, hasa ukifikiri kwa kina kuhusu Nusrat kutolewa jela usiku.
 
Yote maswali yako hayana mana mpaka pale utazingatia katiba inasema nini kuhusu vitimaalum,mimi nashindwa kuelewa mtu msomi anaweka paragraph nyingi akiongelea upuuzi Bila rejea ya misingi ya katiba ya nchi,vyama husika nk.yaani niwe msomi nikubali na kutetea upuuzi uliofanyika kwa Akina Mdee?ntakua nmesoma mwezini ama wapi??

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo hapo Sasa... Bora uwe na misimamo yako,ila usijionyeshe wazi uko upande mmoja... Sasa nchi yetu itakuwa inachekesha,waandishi wanatakiwa watunze kumbukumbu hizi za era ambayo katiba haikuwahi kuonekana ipo. Wabunge wanafutwa uanachama,bado wanaendelea na ubunge, mf. Mwambe wa Ndanda. Mtu kutolewa rumande jioni ili awahi shughuli ya kuapishwa bungeni kesho yake... Na mengine kibao...!
 
Mkuu huyo jamaa humu kishajidharaulisha kuliko mwanachama yeyote aliyewahi kutokea hapa jamvini. Hawa ndiyo watu wanajiita wasomi lakini hawakuelimika hata chembe. Upuuzi wanaouandika ambao hauingii hata akilini unashangaza sana.
kadri siku zinavoyoyoma huyu dogo Pascal Mayalla naona kuna fyuzi kwenye oblangata yake zinapoteza ushirikiano na kichwa.
kaka yake MEKO alimwambia MAYALA ni njaa kali kwa lugha ya kisukuma.
 
Halafu cha ajabu hajistukii tu kwamba dharau dhidi yake kutokana na upuuzi anaouandika ili kutafuta teuzi inazidi kuongezeka badala yake ndiyo anazidi kupost pumba zake.
kadri siku zinavoyoyoma huyu dogo Pascal Mayalla naona kuna fyuzi kwenye oblangata yake zinapoteza ushirikiano na kichwa.
kaka yake MEKO alimwambia MAYALA ni njaa kali kwa lugha ya kisukuma.
 
Halafu cha ajabu hajistukii tu kwamba dharau dhidi yake kutokana na upuuzi anaouandika ili kutafuta teuzi inazidi kuongezeka badala yake ndiyo anazidi kupost pumba zake.
Kwakweli mkuu huyu kijana Pascal Mayalla haitaji hata kuombewa tumuache tu kakake aendelee kumtosa
mzee msekwa kaweka wazi hapa sasa sijui watapinduaje akili kubwa za chadema
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu Drifter, kwanza asante kwa mchango wako, very objective, kiukweli tangu nimepandisha uzi huu, wewe ndio mtu wa kwanza kunielewa, kwasababu, kiukweli kabisa, hii jf ya sasa, tuna watu wachache sana, wenye kuweza kusoma bandiko na kisha kujiuliza what is the motive behind.

Chama cha Mapinduzi ni chama cha ukweli na haki, kiliasisiwa na Mwalimu Nyerere, mpenda haki na mtenda haki. Baada ya Mwalimu, CCM ilipitia mageuzi na kuishiwa kuhodhiwa na wenye fedha, hivyo kuzalisha kada kubwa ya makada wa CCM ambao ni makada maslahi, na kwenye uchaguzi, wanakuwa wako tayari kutumia mbinu zozote kushinda uchaguzi. JPM alipoingia, amekuja kuibadili CCM kuirudisha ile CCM ya Nyerere. Sasa ndani ya makada wa CCM, kuna makada wa aina mbili, kuna "CCM Die Hard", hawa ndio wanaotaka kuhakikisha CCM inaupondaponda upinzani na kushinda kwa asilimia 99.9% kwa kutumia mbinu zozote.

Tupo sisi makada "Modern CCM" ambao kutokana na good track ya kazi nzuri ya JPM, CCM innashinda kwa mshindi mzuri safi na clear victory, kushinda kwa haki bila kufanya figisu figisu zozote.

Kwa vile Bunge letu ni Bunge la vyama vingi, mimi naamini kuna baadhi ya wana CCM very genuine, hakupenda kuona baadhi ya wapinzani wakishindwa akiwemo mtu kama Zitto!. Lakini kutokana na wapinzani kukataliwa na wananchi, ili Bunge lichangamke, zile kamati 2 za oversight committee, PAC na LAAC, lazima ziongozwe na wabunge wa upinzania ambao ni vichwa vya ukweli, kwenye hao wabunge wote sijaona watu wa kalibre hiyo ndio maana kila siku, tunamuomba Mwenyekiti wetu, JPM, katika zile nafasi zake 10, awateua wapinzani 4, Zitto, JJ Mnyika, Mbatia na kale kabinti Queen Sendiga.

Ili CCM itawale vizuri inahitaji Upinzani makini, ndio maana kila uchao, naibalasa Chadema humu na ACT Zanzibar, waache ujinga wa kususa. Ili kusasa kwa akili ni kususa kama kwa kususa huko utaachieve something, lakini kususa tuu for the sake of kususa, huku you won't achieve anything huu ni ujinga!.

Karibu tena.
P
 
Ngoa nipime ubongo wako leo kama umikaa sawia... utaongea kitu hapa..

....nduGEY.. Anasema ALIVUTA (cha arusha) ili mungu amsaidie
 
6.5.2 d imejibu swali lako na waliitwa wakadharau kamati kuu hayo mengine njaa tu zinakusumbua
 
Chadema wakubali yaishe. Walishiriki uchaguzi ili wapate kura .Wamepata wabunge 20.Si haba wawape ushirikiano wawashe moto bungeni. Waendelee kujenga chama. Na waongee hoja bungeni. Maana huku nje wakiongea wanaitwa wachochezi.
Kwenda kwao bungeni Kuna halalisha uchaguzi kua ulikua poa na wataendelea kupokea hiyo misaada yao Bora tusiwe na wawakilishi bungeni lakini na mabeberu yawanyime misaada ili aikiri iwakae vizur
 
kwetu mayalla ni njaa, kwahiyo tunajua kwamba njaa inakusumbua, unajipendekeza ili upate uteuzi wa hata DC, ila ndo hivyo mzee ashakupa kichogo[emoji23][emoji23] wewe umebaki[emoji706]
 
Mbowe anajua misimamo ya akina Lissu lakini pia bila ruzuku ataendesha vipi chama? Hao wapiga kelele wanachangia nguvu tu sio pesa! He is playing very smart.
Chadema inawanachama hai milioni 6 ikiweka utaratibu mzuri kila mwezi mwanachama achangie elfu 1000 inatosha kabisa kuendesha chama
 
Kwa kifupi, somo la elimu ya uraia, civic education, linahitajika sana kwa Watanzania walio wengi, wewe ukiwa ni mmoja wao!. Namna ya kuwapata wabunge wa viti maalum, ni political parties discretionary powers, nafasi hizo hazigombewi bali zinakuwa allotted kwenye vyama mbali mbali kutokana na percentage ya kura za urais. Idadi hupatikana baada ya matokeo ya urais kutangazwa, hivyo wagombea wowote wanawake hata walioshindwa majimboni, wanaweza kuteuliwa. Hao 19 waliteuliwa na Chadema.
P
 
Wewe Paskali umri unaenda lakini akili yako inaenda inapungua kila siku, yule uliyekuwa unamfagilia ameshakufa, na rais wa sasa ameonesha wazi kwamba jpm alikuwa anafanya mambo bila kutumia akili japokuwa nyie wavimba macho mlikuwa manalazimisha tumuunge mkono, wewe kwa hali uliyofikia sasa hivi umebakiza kuolewa tu, hakuna jingine linalokufaa, unaweza kuweka uthibitisho hapa kwamba Halima Mdee na wenzake waliteuliwa na chadema ?, na kama hutaweza then niambie jina gani linakustahili wewe hasa, wakati mwingine kukaa kimya ni Hekima na Busara pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…