"Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

Watu wengi mwili huzeeka kwa haraka kuliko akili. Mwenzetu Mayala, akili inazeeka kwa kasi kuliko mwili.

Mayala ni wa kuonewa huruma. Amebakiza uwezo wa kuandika tu, reasoning ni zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha dunia nzima inapambana na COVID-19 sielewi kwa nini ccm hawataki CHADEMA ipambane na hawa virus wa COVID-19.
 
Pisi mbovu una taabu sana
 
Poti bana.
 
Well said

Nimewaambia hawa MATAGA hawaelewi.

Labda wanaenda kupongezwa?
 
Paskali unazidi kujidhalilisha mda unavyozidi kuyoyoma! The thinking capability applies to Law of floatation "the floating body displaces its own weight ".!!Wakati mwingine kukaa kimya ni Hekima!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Lizee lijinga linashabikia ujinga! Na wewe unaitwa baba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…