"Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

Naona umeamua kujivua akili kabisa, aliyekwambia wanaenda kufukuzwa ni nani? Wale waliitwa kuhojiwa sio kuvuliwa uanachama, pili kwanini huoji kupatikana kwao kama kulifuata taratibu zote za kichama ila unahoji wao kuitwa tu? Hivi ukiwa CCM lazima kutetea kitu hata kama sio cha haki? Unanajisi taasisi zile zote ulizopitia kielimu.
Achana na huyu mzee asikuwa na akili
 
Huna lolote njaa tu inakusumbua,siyo wewe uliyeenda kuomba kuchaguliwa na chama chako wakuchague umtoe huyo unayemsifia hapa kigezo uwezo wa kuleta maendeleo hana na bado hukupata hata kura tano?

Leo upo hapa unamsifia kwamba anajitambua,miaka yote unaandika humu kusifia kwanini huonekani?inawezekana mamlaka zinakujua kwamba wewe ni snitch na unayumbishwa na njaa that's why hupewi kitengo ukatulia.
Sijawahi kuona mwandishi wa habari asiye na akili kama huyu mzee, hovyo kabisa. Mkuu bado tuna safari ndefu sn
 
Kwani Lissu na Lema Wote wanaanza na herufi (L), walidai wametishiwa maisha hadi wakakimbilia ughaibuni. Je, ni kituo gani cha Polisi walikwenda kuripoti kama wanatishiwa ili wapate ulinzi? kwanini unawakomalia hawa wanawake? au na wewe ulikuwa na mpango wa kupata hata nafasi moja lakini wakakuwahi. Kwa bahati mbaya, hawa makomandoo wa Kike, hata wakifukuzwa uanachama watakwenda mahakani na kesi itakwenda kwa muda wa miaka 5. The business is OVER, Mbowe Ruzuku anavuta, na 10%zake anapata. Utatoa povu sana bila mafanikio. chukua jembe ukalime ndg...
Kwanza nikukaribishe nyumbani Tanzania, inaelekea mwenzetu umeishi miaka mingi ughaibuni. Lissu kabla ya kushambuliwa aliwahi kutoa taarifa nyingi polisi kuhusu watu wanaomfuatilia ikiwa ni pamoja kutoa namba za magari wanayotumia, hata hivyo jeshi la polisi lilikataa kuchukua hatua kama lilivyofanya baada ya kushambuliwa! Kichekesho cha karne ni pale jeshi la polisi lilipodai haliwezi kufanya uchunguzi wa Lissu alivyoshambuliwa mpaka aende polisi kufungua kesi! Ni waziri polisi huenda walikuwa wanajua mpango mzima ndiyo sababu walikataa.
 
Huu ni msemo wa Kiswahili kuwa Mzoea Vya Kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Chadema ilizoea kuwanyonga wanachama wake kwa kuwafukuza kienyeji enyeji na kujinga jinga, nimeisoma taarifa hii kwa faraja.

Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo.
  • Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?
  • Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?
  • Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia. Je, hili lilifanyika? Nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, je huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?
  • Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, je hili litafanyika?
  • Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!
Chadema sasa lazima ijifunze kufanya mambo kwa kufuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni!, kufanya mambo kwa kienyeji enyeji kwa mtindo wa zimamoto, sasa basi!

Hongera sana Kamanda Mhe. Halima Mdee na makamanda makomandoo wa kike kwa kuifunza nidhamu chama chenu cha Chadema.

Paskali
unataka teuzi kaka, na hupati unahisi msukuma mwenzako atakupa, kama chadema imewateua kwanini waogope kuitwa, Kilangi anasema wako kihalali akimaanisha chadema wenyewe ndio waliteuliwa, akina halima wangeenda ila kwa taarifa yako hao TISS ndio waliowazuia na kuwalinda, wacha tuone hatima yake lakini nakwambia wallah, wabillah, taallah, teuzi hupati ng'o kwa kusifia sifia mambo ya kijinga jinga, si mnasema wapinzani ndio wanachelewesha maendeleo, leo ndio mnawalinda, maskini akina dada wa watu wamekuwa waoga hata nyuso zao zinawasuta kwa waliyofanya
 
Huyu mpuuzi anataka kuwa balozi na yeye
 
Heading imekaa kimahabahaba kwelikweli,
Naona pascal unajitahidi kusaka uteuzi.Jitahidi riziki ya mbwa iko miguuni
 
Kwanza nikukaribishe nyumbani Tanzania, inaelekea mwenzetu umeishi miaka mingi ughaibuni. Lissu kabla ya kushambuliwa aliwahi kutoa taarifa nyingi polisi kuhusu watu wanaomfuatilia ikiwa ni pamoja kutoa namba za magari wanayotumia, hata hivyo jeshi la polisi lilikataa kuchukua hatua kama lilivyofanya baada ya kushambuliwa! Kichekesho cha karne ni pale jeshi la polisi lilipodai haliwezi kufanya uchunguzi wa Lissu alivyoshambuliwa mpaka aende polisi kufungua kesi! Ni waziri polisi huenda walikuwa wanajua mpango mzima ndiyo sababu walikataa.
Angekufa wasingefanya uchunguzi?
 
Huu ni msemo wa Kiswahili kuwa Mzoea Vya Kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Chadema ilizoea kuwanyonga wanachama wake kwa kuwafukuza kienyeji enyeji na kujinga jinga, nimeisoma taarifa hii kwa faraja.

Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo.
  • Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?
  • Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?
  • Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia. Je, hili lilifanyika? Nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, je huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?
  • Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, je hili litafanyika?
  • Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!
Chadema sasa lazima ijifunze kufanya mambo kwa kufuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni!, kufanya mambo kwa kienyeji enyeji kwa mtindo wa zimamoto, sasa basi!

Hongera sana Kamanda Mhe. Halima Mdee na makamanda makomandoo wa kike kwa kuifunza nidhamu chama chenu cha Chadema.

Paskali
paskalina we hunahaja ya kuteseka na chadema hao akina mdee ni suala la muda tu chadema ni chama makini sana tofauti na sisiem ambao hata hawajui pa kuanzia pale bungeni bila chadema
 
Naona umeamua kujivua akili kabisa, aliyekwambia wanaenda kufukuzwa ni nani? Wale waliitwa kuhojiwa sio kuvuliwa uanachama, pili kwanini huoji kupatikana kwao kama kulifuata taratibu zote za kichama ila unahoji wao kuitwa tu? Hivi ukiwa CCM lazima kutetea kitu hata kama sio cha haki? Unanajisi taasisi zile zote ulizopitia kielimu.
Na hapa ndio utagundua Paskali za kichwani hana ni mganga njaa tu.
 
Kwani wamefanya kosa gani mpaka waitwe kamatiii kuuuu?? Yaaaniii wabunge ambao wanajipanga kutupia nondo Kali, bungeniii, huku halima mdee akiwa mwenyeki wa KUB, na esta amosi bulaya akiwa mnadhimu mkuu wa KUB. Sasa wanaitwa wapi tena hao wabunge wa JMT? Waliokosa ubunge jipangeni 2025.
watamcheleweshea raisi wetu mpendwa kutuleta maendeleo hatuwataki waendo bungeni kuukwamisha maendeleo
 
Mbowe mjanja sana kawaambia msije ili tuendelee kubuy time.

Sasa kama chadema wa mitandaoni mna uchungu sana anadamaneni sasa kudai maboresho kwenye chama lenu mfu hilo.
Mbowe ana mapungufu yake LAKINI si vema kila kitu ambacho CHAMA TAWALA inakipanga au kukiendesha ili kumuhujumu CHADEMA LAWAMA ABEBESHWE FREEMAN.. MSITUAMINISHE KWAMBA MBOWE NI MBAYA KIIVO.
 
Ila kwa Mdee kazi wanayo. Zitto aliwatikisa , Dr Slaa alijiondoa mwenyewe lakini kwa Mdee na kwa Chadema hii ilivyo disorganised watanyooshwa.

Uongozi ungekutana na hawa wanawake nje ya vikao rasmi ili kujadiliana bila kupasua chama. Bado wote wanahitajiana hakuna haja ya ubabe hasa nyakati hizi.
Yani ya ndani ya Chadema unayajua au unayajua yale wanayotaka uyajue?
Hahahahaha wabongo mna laana ya unafiki
 
Halima Mdee amesema hadharani kuwa wamepata baraka za Chama chini ya uongozi wa Mbowe. Lakini, Mbowe hajatoka hadharani kukanusha hilo. Kwahiyo, simple logic ni kuwa Mbowe anaunga mkono wabunge hawa kuapishwa.

Mengine yanayoendelea ni kuwalaghai tu wanaharakati. Ni sawa na kumuahidi mtoto peremende ili aache kulia.
Unaweza kuonyesha maandishi kuwa Mbowe ametoa baraka ? Au ndio propaganda uchwara za Lumumba . Baraka za mwenyekiti zinatolewa kwa mdomo ? Sio maandishi ?
 
Huu ni msemo wa Kiswahili kuwa Mzoea Vya Kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Chadema ilizoea kuwanyonga wanachama wake kwa kuwafukuza kienyeji enyeji na kujinga jinga, nimeisoma taarifa hii kwa faraja.

Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo.
  • Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?
  • Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?
  • Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia. Je, hili lilifanyika? Nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, je huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?
  • Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, je hili litafanyika?
  • Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!
Chadema sasa lazima ijifunze kufanya mambo kwa kufuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni!, kufanya mambo kwa kienyeji enyeji kwa mtindo wa zimamoto, sasa basi!

Hongera sana Kamanda Mhe. Halima Mdee na makamanda makomandoo wa kike kwa kuifunza nidhamu chama chenu cha Chadema.

Paskali
Kada wa kijani kibichi CCM , anadadavua katiba ya Chadema ? Mbona hutaji vifungu ? Au njaa imekuzidi tumboni imepanda kichwani , unamsaidia Polepole in Lipumba's voice .
 
Back
Top Bottom