Mzoefu wa biashara ya nguo za mtumba anahitajika

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
411
Reaction score
725
Wakuu heshima itawala..

Nisiwachoshe maana January hii ngumu sana.

Natafuta mtaalamu anaejua machimbo/magodaoni yenye nguo kali za mtumba ( Mabalo kutoka Uturuki au Dubai) na mwenye utaalamu wa kuchagua tufanye biashara. Kazi yake itakuwa ni kunipa mwongozo, mm nitakuwa nachukua naend kuuza (Sio kwa mnada)..

Kwenye kijiwe changu nataka nianze na skin jeans, blauzi na shart za kiume.
 
Unataka kuuzia wapi?
 
Katika mtumba tunazingatiaga sana lebo ya baloo!, na kama unauzia namanyere ni vema ukachukulia Mbeya. Mie nauzaga nguo ya watoto napochukuaga Ile lebo ipo vzuri sana.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom