Mzoefu wa biashara ya nguo za mtumba anahitajika

Mzoefu wa biashara ya nguo za mtumba anahitajika

Wakuu heshima itawala..

Nisiwachoshe maana January hii ngumu sana.

Natafuta mtaalamu anaejua machimbo/magodaoni yenye nguo kali za mtumba ( Mabalo kutoka Uturuki au Dubai) na mwenye utaalamu wa kuchagua tufanye biashara. Kazi yake itakuwa ni kunipa mwongozo, mm nitakuwa nachukua naend kuuza (Sio kwa mnada)..

Kwenye kijiwe changu nataka nianze na skin jeans, blauzi na shart za kiume.
Kwa biashara ya nguo usifungue mwezi wa kwanza anza mwezi wa 3
 
Mi siuzi mtumba.... Nakutanaga nao hao majaaa wanaofata
M-link jamaa Ubungo Mataa, hope u got a contact ya jamaa mmoja ambaye ni mpole vile unapendaga, huwa naamini katika kumsaidia mtu nikiamini ipo siku nae atawasaidia wengine na katika ioe cycle huenda akamsaidia mtu wako wa karibu!!
 
Back
Top Bottom