Ubungo Mataa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2018
- 411
- 725
Unataka kuuzia wapi?Wakuu heshima itawala..
Nisiwachoshe maana January hii ngumu sana.
Natafuta mtaalamu anaejua machimbo/magodaoni yenye nguo kali za mtumba ( Mabalo kutoka Uturuki au Dubai) na mwenye utaalamu wa kuchagua tufanye biashara. Kazi yake itakuwa ni kunipa mwongozo, mm nitakuwa nachukua naend kuuza (Sio kwa mnada)..
Kwenye kijiwe changu nataka nianze na skin jeans, blauzi na shart za kiume.
NamanyereUnataka kuuzia wapi?
Mkuu maeneo ya kuuzia yapo mengi.. Naamin nikipata mzigo mzur nitauza tuu hata maeneo ya stendi kama Mbezi n.kUnataka kuuzia wapi?
Utakuja kuliwa mkuu.. Ukiwa kama mwanaume sio kila kitu lazima ujiingize hata kama hauna point. Utakuja kuombwa.Namanyere
Umefunga PM, nakupatajeUnataka kuuzia wapi?
Namanyere kunaonekanaje ni rural au sub urban?Namanyere
Hapo ukinunua belo Kuna jambo la kufanya ili update faida nzuriMkuu maeneo ya kuuzia yapo mengi.. Naamin nikipata mzigo mzur nitauza tuu hata maeneo ya stendi kama Mbezi n.k
Hapana mkuu.. Check vzurUmefunga PM, nakupataje
Jambo gan mkuu..? Unaweza jibu hapa ama PMHapo ukinunua belo Kuna jambo la kufanya ili update faida nzuri
Kivip mkuu.. Toa ABC, share experience bas. Ndio wew unaenda huko?Nenda nairobi
Swali la wapi atauzia nilitegemea atajibu Ubungo Mataa ambaye ndiye aliyeulizwa, Tuache mizaha na dharau kwa nyuzi za watuNamanyere
Kabisa mkuu. Tatz ni hawa watoto wadogo wanaoishi kwa shemeJi zao. Kila uzi ni kulete jokes bila kufikiria kuwa pia hata yeye anaweza kupata madini.Swali la wapi anauzia nilitegemea atajibu Ubungo Mataa ambaye ndiye aliyeulizwa, Tuache mizaha na dharau kwa nyuzi za watu
Takwenya,Nenda nairobi
Hapo kwenye lebo nilikuwa sijui kabisa mkuu..Katika mtumba tunazingatiaga sana lebo ya baloo!, na kama unauzia namanyere ni vema ukachukulia Mbeya. Mie nauzaga nguo ya watoto napochukuaga Ile lebo ipo vzuri sana.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Asante, Nitakupigia mkuu.Maduka ya mitumba dsm yako mengi mnazi Moja kule mtaa unaitwa Sofia kawawa. Ila hata Narungombe pia ipo, mgoduniby wahindi. Hata pale Tazara karibubna ofis ya tbc ipoo. Kampuni kubwa sana inaitwa Bazaar.
Call 06287318 tatu-tatu