Wakuu heshima itawala..
Nisiwachoshe maana January hii ngumu sana.
Natafuta mtaalamu anaejua machimbo/magodaoni yenye nguo kali za mtumba ( Mabalo kutoka Uturuki au Dubai) na mwenye utaalamu wa kuchagua tufanye biashara. Kazi yake itakuwa ni kunipa mwongozo, mm nitakuwa nachukua naend kuuza (Sio kwa mnada)..
Kwenye kijiwe changu nataka nianze na skin jeans, blauzi na shart za kiume.