Mzoefu wa kuagiza bidhaa kwa kutumia Aliexpress anisaidie

Kidava1

Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
31
Reaction score
24
Nimeagiza bidhaa fulani toka China kwa kutumia app ya aliexpress wenye trak number inayoanzia na LP 000 kwenye trak mzigo unaonekana umeingia toka tarehe 7/04/2025 nikaamua kuwafuata kwenye ofisi zao nilipofika wananiambia mzigo haujafika na mzigo wenye trak number inayoanzia na LP 000 mizigo inapitia posta hii ikoje wazoefu.

Natanguliza shukrani
 
Kama ni posta Unaweza kuchua hadi wiki mbili kutoka ulipoingia nchini, kulingana na mahali ulipo na mizigo iliyopo
 
Nimeagiza bidhaa fulani toka China kwa kutumia app ya aliexpress wenye trak number inayoanzia na LP 000 kwenye trak mzigo unaonekana umeingia toka tarehe 7/04/2025 nikaamua kuwafuata kwenye ofisi zao nilipofika wananiambia mzigo haujafika na mzigo wenye trak number inayoanzia na LP 000 mizigo inapitia posta hii ikoje wazoefu.

Natanguliza shukrani
Ni kweli LP 000 unapitia posta na huo mzigo haujatoka china. Mizigo yote inayotoka china inapitia speedaf
 
Hebu nisaidie, Mimi trackin no TZ003... niliagiza bidhaa flan estimate ilikuwa ifike kati ya March 30-Apr 09. update ya mzigo mara ya mwisho ni March 19 ikisema " Package left sorting centre". mpaka sasa hivi hakuna update mpya. Ofisi zao zipo wapi?
 
Mizigo yenye namba LP huchelewa Sana kufikia nafhani utakuwa ukitumia Canaio global shipping Ila utauoata kuwa mvumulivu
 
nipo Arusha Mkuu. Mara kwa mara huwa napokelea Posta, ila kipind hiki nimeagiza kitu chenye size kubwa kidogo
Aliexpress na kikuu huwa wanashea ofice kama unijua ya kikuu bas ndio hyohyo na kila mkoa zipo
 
Hebu nisaidie, Mimi trackin no TZ003... niliagiza bidhaa flan estimate ilikuwa ifike kati ya March 30-Apr 09. update ya mzigo mara ya mwisho ni March 19 ikisema " Package left sorting centre". mpaka sasa hivi hakuna update mpya. Ofisi zao zipo wapi?
Umefanyia traking wapi mizigo ya aina hiyo tracking tunafanyia www.speedaf.com
 
Tumia sites ku track mzigo wako hiyo app ya Ali express inazingua sana kwenye kuonesha sehemu mzigo ulipo

Tumia hizo sites
 
Kuagiza moja kwa moja mzigo unakaa sana. Siku hizi nawatumia hawa jamaa wa Home page. Wanakuletea mzigo mpaka delivery wanafanya. 2-3 weeks unakuwa umepata kama mzigo hauna battery.
 
Back
Top Bottom