Ni kweli LP 000 unapitia posta na huo mzigo haujatoka china. Mizigo yote inayotoka china inapitia speedafNimeagiza bidhaa fulani toka China kwa kutumia app ya aliexpress wenye trak number inayoanzia na LP 000 kwenye trak mzigo unaonekana umeingia toka tarehe 7/04/2025 nikaamua kuwafuata kwenye ofisi zao nilipofika wananiambia mzigo haujafika na mzigo wenye trak number inayoanzia na LP 000 mizigo inapitia posta hii ikoje wazoefu.
Natanguliza shukrani
hapa kwenye app wanasema mzigo ushafikaNi kweli LP 000 unapitia posta na huo mzigo haujatoka china. Mizigo yote inayotoka china inapitia speedaf
Hebu nisaidie, Mimi trackin no TZ003... niliagiza bidhaa flan estimate ilikuwa ifike kati ya March 30-Apr 09. update ya mzigo mara ya mwisho ni March 19 ikisema " Package left sorting centre". mpaka sasa hivi hakuna update mpya. Ofisi zao zipo wapi?Ni kweli LP 000 unapitia posta na huo mzigo haujatoka china. Mizigo yote inayotoka china inapitia speedaf
nipo Arusha Mkuu. Mara kwa mara huwa napokelea Posta, ila kipind hiki nimeagiza kitu chenye size kubwa kidogowewe upo mkoa gan
Aliexpress na kikuu huwa wanashea ofice kama unijua ya kikuu bas ndio hyohyo na kila mkoa ziponipo Arusha Mkuu. Mara kwa mara huwa napokelea Posta, ila kipind hiki nimeagiza kitu chenye size kubwa kidogo
shukran kakaMizigo yenye namba LP huchelewa Sana kufikia nafhani utakuwa ukitumia Canaio global shipping Ila utauoata kuwa mvumulivu
Umefanyia traking wapi mizigo ya aina hiyo tracking tunafanyia www.speedaf.comHebu nisaidie, Mimi trackin no TZ003... niliagiza bidhaa flan estimate ilikuwa ifike kati ya March 30-Apr 09. update ya mzigo mara ya mwisho ni March 19 ikisema " Package left sorting centre". mpaka sasa hivi hakuna update mpya. Ofisi zao zipo wapi?
Uwe unatembelea post mara kwa mara ukisubiri mpaka wakipigie utachelewahapa kwenye app wanasema mzigo ushafika
shukranUwe unatembelea post mara kwa mara ukisubiri mpaka wakipigie utachelewa
We na we Bana... Haya Washampa huo muongozo...