Mzomeeeeni, huyoooooooooooo.

Utamzomeaje wakati amepata ubunge na TAKUKURU hawawezi kumgusa huku akipeta na mamilioni ya rada anayoyaita vijisenti. Yeye ndiye anayetuzomea wabongo na TAKUKURU yetu inayotumia kodi zetu, anatuona Wadanganyika kweli kweli. Na kwa makusudi alijua hatapata uspika ila alikuwa analemga kumchafulia 6. Amefaulu malengo na anatesa mfululizo wala siyo kwa zamu
 
Anapiga hesabu hata hivyo hesabu zake za nguvu Bro 6 tayari bado kale ka kesi ka mauaji na kale ka vijisenti
 

TAKUKURU sio yetu... Ni yao ndio maana wanaicontrol wanavyotaka.
 
Mjambisheni....Priiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
 
Anapiga hesabu hata hivyo hesabu zake za nguvu Bro 6 tayari bado kale ka kesi ka mauaji na kale ka vijisenti

hapa ni sioni kesi ya kujibu.
 
Mutu muzima ovyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Mutu muzima ovyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Maria na wenzako mnajipa presha. Chenge hana alichopoteza, wewe na sisi ndo tumepoteza mengi na wengi. Tusizomee tu.......
 
Chenge kashinda kwa kile alichokitaka kimetimia nadhani wa kuzomewa na kujambishwa ni Marando maana kaukosa uspika kwikwikwikwikwi yaani jamaa walijipa hope asilimia 12 wangeweza kushinda duh hii inabidi iingizwe kwenye kitabu cha rekodi ya dunia. Chako chetu chetu chetu KUB tamu sana lakini hauzidi uspika heheheheheheh
 

hukui? una miaka mingapi kwanza? acha uchuro teh teh nawe ni wa kujambishwa priiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! booooooooooooooooh
 


Tumzomee hiloooooo au huyooo au kila mtu kwa style yake
Halafu kama vile analia pamoja na vijisenti vyote alivyonavyo
 
Msimjambishe tuu inabid hiyo picha tui-edit kwa stail ya kumvua nguo halafu yuko juu ya hizo pesa anazoziita vijisenti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…