Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

South yuko mbali sana nilishangaa kagame kujitutumua
 
Saaaaafi sana huyu mnyamurenge analelewa sana
 
Vipi goma hamuitaki mmewaachia m23 watambe yaani nchi zaidi ya 20 mnamchangia m23 na bado anatamba hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Si umeona mmeongeza askari,mnajua kifuatacho itv.. subirini!
 
Hahaha! Watanzania kwa kulitukuza jeshi letu hatujambo. Kama kuna taasisi serikali inapaswa kuitunza kwa wivu na ujivuni basi ni JWTZ sababu ni very professional na inapendwa na kuaminiwa mno na raia.
JWTZ na CCM ndo taasisi zilizobakia kwa kuaminiwa.
 
Mbona nimeona Rwanda wanakejeli South Afrika army kuwa ni wafupi +vibonge.
Wanawaita "Amapiano Boys"
 
UONGO UONGO UONGO
 
Wewe ni muongo saana TZ haiwezi kufadhiri vita ya DRC

Pili Nkurunzinza hakupitia kigoma alipitia Kagera (shemeji yangu alishiriki hii Op)

Hiyo Burundi imempiga M23 kwenye battle gan aliyakuwa toka kuanguka kwa goma hakuna battle yoyote kubwa iliyotokea up to now
 
FARDC
FDLR
mai Mai
Nyatura hili ni genge
Wapo pamoja
 
Wale ni wanajeshi wa Rwanda so lazima wafiche evidence

Mwaka Jana mwishoni Rwanda R.I.P za wanajeshi zilikuwa ni nyingi saana
 
Haya mambo ya CONGO, Kuna andiko Moja aliandika Mshana Jr kwamba "Tatizo la CONGO ni mkataba"
Jeuri ya Rwanda ni back up ya USA, EU, ISRAEL n.k.
Hivi sasa Rwanda Ina soko kubwa la madini ya Coltan, wakati Hana mgodi. Coltan inahitajika sana kwenye vifaa vya electroniki. Mwaka Jana Bilionea Elon Musk alitembelea Rwanda, na akatoa offer ya internet (star link) bure....
Jiulize Kuna nini so special pale Rwanda??
CONGO alinunua drones Toka China kwa ajili ya kuilinda Goma, zilipofika hazikuweza kutumika, kisa? Eti M23 na Rwanda wake wame - hack mawimbi ya GPS ili drones zisiongozeke KATIKA eneo Hilo. Nani anayemsimamilia ktk teknolojia hiyo Rwanda?
 
Naomba EAC WAKAE CHINI KWA PAMOJA WAKEMEE NA KUALANI HAYA MAMBO YA KISHENZI YA WAHUNI WA M23

HAWA M23 NI RWANDA NA MKIWACHEKEA WANAINGIA KILA NCHXI YA EAC


INASIKITISHA SANA KANCHI MWANZA KUBWA ATI ANAINGIA DRC NA KUNA UNESCO KUNA WANAJESHI WA SADC

SIDHANI NA BADO NA JIULIZA HAWA WATU WANAENDA KONGO KUFANYA NN

MAJESHI YOTE YALE M23 WANAWASHINDA AISEE

HII DHAMBI TUIKATAE TUIKEMEEE MILEEEE
 
Akili Yako ndogo nimeishia hapo kwenye population ya watu yaani ulivyozuzu unafikiri kushinda vita ni wingi wa watu waliopo nchi kawachokoze Israel population yao 9M tu kama nchi Yako yenye population 67M haijageuzwa majivu
Wewe ndio huna akili hio ni moja ya factor ,mwenzio kataja factors nyingi hiyo ikiwa mojawapo.

We hujiulizi kwann Ukraine pamoja na kupata silaha kutoka magharibi bado anataka na workforces?? Hujiulizi kwann anawataka raia wake wasikimbie nchi na wajiunge na jeshi??

Unahisi hizo armored vehicles zitaongozwa na mizimu?


Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Watutsi mnapeana tu shift
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…