Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Wa rwanda unawajua waliopo kwenye nchi za watu wengineHii imejumuisha wale waisrael waliojificha kwenye nchi nyingine wakijifanya raia wa huko walipo kiasi wengine kupewa vyeo vikubwa kwenye nchi hizo?
Jibu swali wewe na mijitu Yako 67m unaweza kushinda vita dhidi ya watu 9m wa IsraelWewe ndio huna akili hio ni moja ya factor ,mwenzio kataja factors nyingi hiyo ikiwa mojawapo.
We hujiulizi kwann Ukraine pamoja na kupata silaha kutoka magharibi bado anataka na workforces?? Hujiulizi kwann anawataka raia wake wasikimbie nchi na wajiunge na jeshi??
Unahisi hizo armored vehicles zitaongozwa na mizimu?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kaka we unafikiria kwa kutumia kichwa kipi?Jibu swali wewe na mijitu Yako 67m unaweza kushinda vita dhidi ya watu 9m wa Israel
Kelele za nini kashaua askari wako nenda kapige mpaka kigali sio kuandika humu jamii forum miaka ya mikwara imeshaisha kipindi hiki ni vitendo tu sio mdomoKaka we unafikiria kwa kutumia kichwa kipi?
Israeli hana rasilimali watu wengi lakini katuzidi sana kwenye teknolojia, wana vifaa vya kijeshi imara na bora kutuzidi sisi.
Hao Rwanda sio Israeli na wakileta chokochoko tutapiga hadi Kigali
Mbona unahamisha magoli tena?4G
Wa rwanda unawajua waliopo kwenye nchi za watu wengine
HakikaIla dunia ni uwanja wa fujo😔
😊Hakika