Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

4G
Hii imejumuisha wale waisrael waliojificha kwenye nchi nyingine wakijifanya raia wa huko walipo kiasi wengine kupewa vyeo vikubwa kwenye nchi hizo?
Wa rwanda unawajua waliopo kwenye nchi za watu wengine
 
Wewe ndio huna akili hio ni moja ya factor ,mwenzio kataja factors nyingi hiyo ikiwa mojawapo.

We hujiulizi kwann Ukraine pamoja na kupata silaha kutoka magharibi bado anataka na workforces?? Hujiulizi kwann anawataka raia wake wasikimbie nchi na wajiunge na jeshi??

Unahisi hizo armored vehicles zitaongozwa na mizimu?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Jibu swali wewe na mijitu Yako 67m unaweza kushinda vita dhidi ya watu 9m wa Israel
 
Jibu swali wewe na mijitu Yako 67m unaweza kushinda vita dhidi ya watu 9m wa Israel
Kaka we unafikiria kwa kutumia kichwa kipi?

Israeli hana rasilimali watu wengi lakini katuzidi sana kwenye teknolojia, wana vifaa vya kijeshi imara na bora kutuzidi sisi.

Hao Rwanda sio Israeli na wakileta chokochoko tutapiga hadi Kigali
 
Kelele za nini kashaua askari wako nenda kapige mpaka kigali sio kuandika humu jamii forum miaka ya mikwara imeshaisha kipindi hiki ni vitendo tu sio mdomo
 
MKUUU NAANGALIA ALJAZERA NEWS

JANA KIMEWAKA MARNEO YA BUKAVU NA UN WAMELAAN SANA HII NA JNNE WAMESEMA WANALIANZISHA
 
Mkuuuu wanapigaaaa kama nyokooo
 
Attachments

  • IMG_20250206_124945_464.jpg
    IMG_20250206_124945_464.jpg
    415.5 KB · Views: 2
  • IMG_20250206_124938_364.jpg
    IMG_20250206_124938_364.jpg
    461 KB · Views: 2
  • IMG_20250206_124933_963.jpg
    IMG_20250206_124933_963.jpg
    482.4 KB · Views: 3
  • IMG_20250206_124926_332.jpg
    IMG_20250206_124926_332.jpg
    503.8 KB · Views: 3
  • IMG_20250206_124925_402.jpg
    IMG_20250206_124925_402.jpg
    439.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom